Usisiome kozi hizi..!

Usisiome kozi hizi..!

KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1.PROCUREMENT
2.FOREIGN RELATION
3.BUSINESS ADMINISTRATION
4:HUMAN RESOURCE
5:ENGINEERING
6:BCOM
7:MD
8:SOCIOLOHY
9:ComMUNITY DEVELOPMENT

WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Kama unategemea kuajiriwa basi chagua course yenye mawanda ya ajira. Mfano mtu aliyesoma Business Administration anaweza akawa HR, Customer service officer, Trade Analyst, Banks and Microfinance (loan officer, back office, teller), marketing, promotion, sales, TRA kwenye mambo ya kodi, etc.
Mwisho wa siku kila mmoja kapangiwa fungu lake (kupata na kukosa)
 
Changamoto inakuja ni pale unasoma ili upate ajira na sio kusoma ili upate knowledge halafu mengine yatafata...masomo yote unakariri ili ufaulu hiyo knowledge utaipata vp?
Ukitaka kuthibitisha ilo Nenda hospital muulize swali Daktari uone atakavyojing'ata
 
Law mbna watu wengi wamepata kazi na wengine wamejiajiri
Emu soma kigingi hicho utaelewa kudadadek,
Screenshot_20230204-132846.png
 
Back
Top Bottom