Usisiome kozi hizi..!

Usisiome kozi hizi..!

Wanataka usiendelee level 6 uishie level 5 ili uweze kuajiriwa na Serikali kwa hio kwa maana hio wanaoendelea level 6 ni mafala wenzao walioishia level 5 wanaajiriwa wao wanaendelea kusota mtaani,
Serikali inafanya makusudi sana mwaka juzi iliajiri watu 2000 wa NTA level 5 (assistant clinical officer) nakuacha diploma na medical doctor wakisaga rumba mtaani
 
Changamoto inakuja ni pale unasoma ili upate ajira na sio kusoma ili upate knowledge halafu mengine yatafata...masomo yote unakariri ili ufaulu hiyo knowledge utaipata vp?
Ukitaka kuthibitisha ilo Nenda hospital muulize swali Daktari uone atakavyojing'ata
Ujanja ujanja tu wengi wanapata kazi/ajira kiujanja ujanja mixa connection sio kwamba kichwani wapo bright
 
Ujanja ujanja walio incompetent ndio wamejazana na viburi juu
That's how it is, mtu anapenyezwa penyezwa kiujanja ujanja kwa mfumo wa connection unamkuta yupo ndani kuna mshikaji baba yake ni mkuu wa Chuo cha Diplomasia tumemaliza pamoja na hata GPA yake ni ndogo Ila kapigiwa pande anafanya kazi Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa Serikali
 
Hii Tanzania kama umezaliwa familia ya kimasikini unahitaji nguvu kubwa kutoboa.utumishi kujuana,TRA kujuana,TPA kujuana,jeshi/police bila connection hauendi, mikopo ya halmashauri hupati utahangaika na MUNGU wako mpka unakufa
 
Connection+Ujanja Ujanja = Job/Kazi/Ajira

Huna connection wewe sio mjanja mjanja sahau kuajiriwa jiajiri mwenyewe, haijalishi umetoka mazingira gani UKIKOSA vitu hivyo viwili you're done
 
Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri.

Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira.
Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO..
Tumeshindwa kufanya Uwekezaji mkubwa kwenye KILIMO, katika nchi ambayo kila KATA inalimika tunashindwaje kuwa na IRRIGATION SCHEMES wakati tumejaa na Maji kila kona ya nchi...
Nchi hi jumla ya KATA ipo kwenye 4,000 hivi, ina maana kama kila KATA ikiwa na IRRIGATION SCHEME ambazo nyingi zimejengwa na Serikali kwa gharama isiyozidi Bilioni 2/- basi nchi nzima tunahitaji kama Trilioni 8..
Nchi inakopa MATRILIONI kibao lakini MKULIMA kule chini bado MASIKINI wa kutupwa.

Screenshot_20230204-140421.jpg

Ni wazi Serikali imeshindwa kukipigania KILIMO kinachotegemewa na zaidi ya robo tatu ya nchi, sasa kwanini wasitafutwe watu wa kuwekeza kwa makusudi kabisa kama ilivyo kwenye MADINI?
WATENDAJI wetu wakuu wanapenda hela inayozalishwa PAPO KWA PAPO ili wapige 10% watambae na chao.
Hakuna anayemfikiria mwanachi wa mwisho kabisa kule kijijini anayetaabika na jembe la mkono.
Serikali inatoa Ruzuku kwenye Mbolea, vipi kuhusu pembejeo zingine na gharama za Kilimo? Kilimo bado ni cha mazoea huku wakulima wakiendelea kuwa Masikini.
Endapo KILIMO kikitengeneza ajira, kitafungua ajira zingine nyingi sana.
Tanzania leo inaweza ikawa muuzaji wa mazao ya chakula na biashara kwa nchi nyingi sana haswa kwenye zama hizi na zijazo..
Kila Kanda ya nchi hii ina zao la biashara la kuliingizia hela..

Mwishowe inaonekana tunahitaji kugawa hii inchi KIKANDA ili tufanikiwe... Ndo tunafikia kwenye KATIBA 😂😂😂 ... Kila kitu nchi kimesimamishwa na KATIBA ya MKOLONI 🤣🤣

Hili BOMU la AJIRA ambalo wakubwa bado hawajalitolea macho ipo siku litawalipukia... Tengenezeni KILIMO kiajiri WATANGANYIKA, siye Watanganyika tukishakuwa na vijisenti mfukoni ya Chakula, Kodi na kulipa Ada za WATOTO wetu hatuna shida hiyo MIRADI mikubwa nyie gombanieni tu😁😁
 
View attachment 2505836

Mkuu uko sahihi kwa 100%. Kilimo na ufugaji vinaweza kupunguza tatizo kwa asilimia kubwa mno. Hata uvuvi pia. Nilishasema sisi watanzania tuache kufanya mambo ambayo tayari tumeshachelewa. Kwa mfano unakuta Masoud Kipanya anakuambia kagundua gari ambalo huwezi kuliuza hata hapo Malawi. Hizi nguvu tulizo nazo kama nchi tuzielekeze kwenye kilimo. Pia mikopo ya itolewe kwa watu ambao kweli wako serious na kilimo na angalau walishaanza kufanya.
 
Back
Top Bottom