Usisiome kozi hizi..!

Engineering??...you are not serious au kuwa specific Engineering gani?
 
Bora tax kidogo mzee
 
Hapo pspa, community development, international relations na public administration pamoto kweli kweli
 
Mtoa mada usikalilli maisha based on your experience, kama hujafanikiwa kwenye kozi uliosoma usiwakatishe tamaa na wengine wasisome cz kuna watu kibao wamefanikwa kupitia hizo hizo kozi, otherwise useme na reason ya kutokushauri watu kusoma izo kozi.
 
Kuliko kusoma hizi kozi bora kuuza chai stendi ya magu
Agronomy
Bachelor of laboratory science
Crop production and management
Sosholoji
Akiology
Laboratory science ipi unaizungumzia?
 
Nimesoma Agribusness, tena nikawa CR wa kutegemewa pale SUA. Nikatoka na GP ya 3.3, saizi sina kazi yoyote zaidi ya kula madem tu huku Kirakara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo angalau Public administration, tax mgt,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…