Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,731
Kwa nini huna kazi?Nimesoma Agribusness, tena nikawa CR wa kutegemewa pale SUA. Nikatoka na GP ya 3.3, saizi sina kazi yoyote zaidi ya kula madem tu huku Kirakara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini huna kazi?Nimesoma Agribusness, tena nikawa CR wa kutegemewa pale SUA. Nikatoka na GP ya 3.3, saizi sina kazi yoyote zaidi ya kula madem tu huku Kirakara.
Nilirogwa na mhaya mmoja, nilimpiga mimba nikamkataa akaniroga.Kwa nini huna kazi?
Mwaka gan mkuu umemalza.Omba internship Sugeco/NMB uende mambele..Hao mademu acha mzee utapoteza focous ya kupambana.Nimesoma Agribusness, tena nikawa CR wa kutegemewa pale SUA. Nikatoka na GP ya 3.3, saizi sina kazi yoyote zaidi ya kula madem tu huku Kirakara.
Kwann ukatae mimba.ni wenge lako mkuu ujalogwa..Nilirogwa na mhaya mmoja, nilimpiga mimba nikamkataa akaniroga.
Engineering ni moja ya kozi bora kabisa kusoma..... ukikosa ajira, kujiajiri ni rahisi sana.KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1. PROCUREMENT
2 .FOREIGN RELATION
3. BUSINESS ADMINISTRATION
4: HUMAN RESOURCE
5: ENGINEERING
6: BCOM
7: MD
8: SOCIOLOGY
9: ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
project planning management and community development,, serikalini kupata ajira ni mtihaniKOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1. PROCUREMENT
2 .FOREIGN RELATION
3. BUSINESS ADMINISTRATION
4: HUMAN RESOURCE
5: ENGINEERING
6: BCOM
7: MD
8: SOCIOLOGY
9: ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA
Hizo nyingine je?Engineering ni moja ya kozi bora kabisa kusoma..... ukikosa ajira, kujiajiri ni rahisi sana.
MD unaweza kujiajiri, ingawa mahitaji ya mtaji ni makubwa zaidi. Lakini vitu kama Civil na Electrical, ukiwa na hela ya Frame tu unaweza kuanza kaziHizo nyingine je?
Acheni kudanganya watuCivil engineering
Mmmh! Una uhakika?Civil engineering
Sina uhakikaMmmh! Una uhakika?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unakoelekea mtoa mada,
Kuna siku Utasema Watu wasisome kabisa
Hiyo kozi ukiwa mjanja hata ukikosa ajira unaishi fresh tu .Sina uhakika
Kirakara = Kilakala. Hiyo ni sababu mojawapo inayofanya usote.Nimesoma Agribusness, tena nikawa CR wa kutegemewa pale SUA. Nikatoka na GP ya 3.3, saizi sina kazi yoyote zaidi ya kula madem tu huku Kirakara.
Unakula wapishi wa nsiima?[emoji23][emoji23]Nimesoma Agribusness, tena nikawa CR wa kutegemewa pale SUA. Nikatoka na GP ya 3.3, saizi sina kazi yoyote zaidi ya kula madem tu huku Kirakara.
Na sikuoi...Kirakara = Kilakala. Hiyo ni sababu mojawapo inayofanya usote.
Yani umeanz na my professional jamniKOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1. PROCUREMENT
2 .FOREIGN RELATION
3. BUSINESS ADMINISTRATION
4: HUMAN RESOURCE
5: ENGINEERING
6: BCOM
7: MD
8: SOCIOLOGY
9: ComMUNITY DEVELOPMENT
WEWE WEKA KOZI AMBAZO NI KICHOMIIIIII HAMNA AJIRA KABISAAA