Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,092
- 5,386
Vyuo gani hivyo hawachukui wenye F ya math
Asante
Sijui kama kuna course yoyote ya afya unaweza kusoma bila pass za Phy,Chem, maths na Biol?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo gani hivyo hawachukui wenye F ya math
Asante
Na maaninish kupata udahili wa degree ikiwa mtu kutokea diploma ana GPA ya 4.8 from CO kwenda Kusoma MD huwa wanazingatia vigezo vya form four?Sijui kama kuna course yoyote ya afya unaweza kusoma bila pass za Phy,Chem, maths na Biol?
Waombaji wakiwa wengi zaidi ya nafasi, Ufaulu wa Kidato cha nne huwa moja ya kigezo.Na maaninish kupata udahili wa degree ikiwa mtu kutokea diploma ana GPA ya 4.8 from CO kwenda Kusoma MD huwa wanazingatia vigezo vya form four?
ENVIRONMENTAL HEALTH UNAWEZA KUSOMA BILA MATHSijui kama kuna course yoyote ya afya unaweza kusoma bila pass za Phy,Chem, maths na Biol?
Hivo inawezakna mtu kupata admission ya kusoma MD kwenye vyuo vya priavate kwa kigezo cha GPA huku akiwa na shida ya math at o-levelWaombaji wakiwa wengi zaidi ya nafasi, Ufaulu wa Kidato cha nne huwa moja ya kigezo.
Nafikizi kwa mazingira ya kawaida, mwanafunzi aliyefaulu Phy, Chem, Biol na Maths lazima atapata angalau Div 3 ambayo sio pass mbaya
Nijuavyo ili usome MD ni lazima uwe na sifa moja kati ya hizi mbili;Hivo inawezakna mtu kupata admission ya kusoma MD kwenye vyuo vya priavate kwa kigezo cha GPA huku akiwa na shida ya math at o-level
Kuna baadhi ya vyuo huwa wanadahili kwa kigezo cha phy, chem, bios huku math na english ikiwa ni sifa za nyongeza ishu inakuja unapotaka kujiendeleza kielimu tcu huwa wanataka kigezo cha diploma kuanzia tatu na nyongeza mtu anabidu awe na sifa za ufaulu wa masomo yote hayo kwa kigezo cha DNijuavyo ili usome MD ni lazima uwe na sifa moja kati ya hizi mbili;
1. uwe umefaulu PCB - A level (PCB kwa kawaida huwa inahitaji pass ya Hesabu ili uweze kusoma)
2. Uwe umefaulu Diploma ya clinical medicine ambayo pia inahitaji pass ya hesabu (wakati wa kujiunga)
Sasa sijui unaongelea GPA ya Course gani ambayo haina hesabu
Haijalishi unasoma serikalini au private Ili mradi unasoma Tanzania hivyo ndio vigezo....
Kama wewe ni mwanafunzi google prospectus ya chuo chochote kinachotoa MD, soma huko utaona kila kinachotakiwa.
Tumia chat gptUkiingia hawaoneshi sehemu ya ada
Yaani kuna chuo kina dahili Clinical medicine bila ufaulu wa hesabu? hicho kitakuwa ni chuo fekiKuna baadhi ya vyuo huwa wanadahili kwa kigezo cha phy, chem, bios huku math na english ikiwa ni sifa za nyongeza ishu inakuja unapotaka kujiendeleza kielimu tcu huwa wanataka kigezo cha diploma kuanzia tatu na nyongeza mtu anabidu awe na sifa za ufaulu wa masomo yote hayo kwa kigezo cha D
Vyuo vingi tu vya private na math huwa kwa sababu ya competitionYaani kuna chuo kina dahili Clinical medicine bila ufaulu wa hesabu? hicho kitakuwa ni chuo feki