Usitafute mwanamke mzuri kuwa katika hali hii. Jinsi ya kutambua Mwanamke aliyembele yako ni mzuri

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe na powder sijui manjano masikala. Usije ukalaghaiwa na mavazi na miondoko na mikogo. Usijichanganye kijana.

Kuna hali ukiwa nayo utaona kila mwanamke anayepita barabarani ni mzuri wa maumbile jambo ambalo sio kweli. Kama walivyo watu weupe na weusi, wafupi na warefu, werevu na wajinga, wanene kwa wafupi, basi vivyo hivyo wapo wanawake wenye mvuto wa mapenzi(wazuri) na wapo ambao hawana mvuto wa mapenzi(wadhaifu). Hii haimaanishi hawana uzuri katika sekta zingine. Vivyo hivyo wapo wanawake wazuri wa kimaumbile lakini sio wazuri wa mambo ya ubunifu, akili na kujishughulisha.

Kama lengo lako ni kupata mwanamke mzuri wa maumbile kwa kuvutia kimapenzi basi hii mada inakuhusu sana. Kwa sababu wapo watu wanalalamika kupoteza hamu na wapenzi wao kadiri muda uendavyo. Yaani siku ya kwanza alimuona mzuri kwa asilimia 100 lakini kadiiri siku ziendavyo anaona uzuri wote unayeyuka. hata mwaka haujaisha anashangaa kuona ndani ya nyumba yake hayupo na yule mwanamke aliyekuwa anamhitaji.
Na wengi hujikuta wakianzisha vitimbi na ghasia za hapa na pale.

Usitafute mwanamke mzuri ukiwa katika hali hizi

1. UKIWA NA HAMU, UGWADU,
Hakuna mwanamke mbaya kwa mwanaume mwenye genye. Ndio maana mpaka machizi wanabakuliwa na wanaume wenye ugwadu.
Ukiwa na hamu sana sikushauri ukatembee tembee huko mitaani. utababaika sana. Utavunja shingo sana. Utababaishwa sana na kinadada. Kikawaida wanawake huwababaisha wanaume wenye ugwadu. Yaani mwanamke akikuona tuu hivi anaweza kukukadiria kuwa wewe sio mtu wa wanawake na unapata shida kuwapata. Na kama unapata shida kupata wanawake basi ni wazi utakuwa na ugwadu misimu yote ya mwaka.

Kadiri unavyolundika ugwadu ndivyo unavyojiweka mazingira magumu ya kupata mwanamke mzuri kwa sababu wanawake wote utawaona ni wazuri.
Watu wengi husema wanawake hupenda wanaume waliopo kwenye ndoa jambo ambalo lina ukweli kwa kiasi fulani lakini elewa hata ukiwa kwenye ndoa, ukiwa unanyimwa mchezo na mkeo au kadiri unavyokuwa haufanyi ngono na mwenza wako ndivyo unavyopunguza soko la wanamke wa nje.

Kadiri unavyo score ndivyo unavyopata oda za timu pinzani.
Kanuni hiyohiyo hutumika kiuchumi, kama mkeo hapendezi na unashindwa kumtunza unajiweka mazingira magumu ya kukubaliwa na wanawake wazuri walionje.
Wanawake wanakujua kupitia wanawake wenzao. Ikiwa mkeo humridhishi kunako sita kwa sita hata asipowaambia watamtambua kwa kuona mienendo yake. kuanzia gubu na kisirani, kutokuwa na furaha n.k

Wanawake wanapenda bad boy kwa sababu bad boy hawakuwagi na ugwadu wa kijinga(mwingi) hivyo hawana muda wa kubembelezana saaana.

2. UKIWA UMELEWA
Kila mwanamke ni mzuri kwa mwanaume mlevi. Ni vizuri uchague kwanza mtoto wa moto ndipo uanze kupiga vyombo. Sio unywe vyombo alafu nyege zikikupanda ndio uanze kuangalia warembo. My FURENDI utapata garasha.

3. UKIWA NDIO UMEPATA PESA NA HAUJAIZOEA.
Ukipata pesa labda ndio umeanza kazi jitahidi ukae miaka angalau miwili mitatu ndipo utafute mwanamke wa kumwoa na hii ni kama hauna mchumba. Pesa inatabia ya kukutia mawenge kama hujaizoea na haijakuzoea. Hii ipo hata kwenye manunuzi ya kawaida ya vitu na bidhaa. Kama sio mzoefu wa pesa sio ajabu ukienda sokoni ukanunua bidhaa ambayo wakati unanunua uliiona nzuri lakini ukirudi nyumbani unashangaa sio nzuri. Hilo ni wenge la pesa. ukipata pesa nyingi ambayo hujaizoea, tulia walau muda fulani labda wiki, mpaka kile kitete na wenge likuishe ndipo ukafanye manunuzi. Hii pia ipo kwa wastaafu, wanapewa pesa nyingi kwa pamoja ambazo hawakuwahi kuzishika. Hii huwafanya wakose utulivu wa kuchagua mambo mazuri ya kufanya na wengi hujikuta wanajilaumu.

4. UKIWA MGENI WA ENEO HUSIKA.
Umetoka kijijini huko Nanjilinji, umeingia mjini iwe ni Dsm au Arusha au mji wowote mkubwa tofauti na kijijini kwenuy, hapo automatiki kila mwanamke utamwona ni mzuri jambo ambalo ukishazoea utagundua wazuri ni wachache au kati ya wale uliowaona hakuna hata mmoja mzuri. Hilo huitwa wenge la kuingia mjini.
Hii pia naiona kwa vijana wanaoingia chuoni, wanasema chuoni sijui kuna watoto wazuri kuliko mtaani lakini kiuhalisia sio kweli. Wapo wazuri ambao ni wachache, wapo wa kawaida ambao ni wengi, na wapo ambao hawana mvuto ambao pia ni wachache.

5., KAMA HUJUI MAMBO YA UREMBO, MITINDO NA FASHENI TAFUTA MWANAMKE ALIYE NATURAL.
Mjini ni kama mtandaoni tuu. Wanawake wote unaweza kuwaona ni wazuri kama wewe sio mtu wa kujua kutofautisha editing(uremb0, mitindo na fasheni). Sio ajabu watu wengi hudhani kuwa wanamuziki na wasanii ni wazuri kwa sababu ya ushamba wao wa kutokuwa aware na mambo ya editing. Siku wakikutana mubashara na wasanii hao hubadili mitazamo yao.
Kama sio mahari wa kujua mambo ya urembo wa kinadada, ni vyema mwanamke yule unayemwona mzuri uhakikishe unakutana naye akiwa hana editing yoyote, sio makeup, sio wigi wala sio msuko. Yaani awe naturally

6. MWANAMKE AKIWA KAVAA KIMTEGO IWE NUSU UCHI AU AMEBANA NGUO.
Kikawaida mwanamke yeyote akijiweka kimtego lazima umwone mzuri kwa sababu mtego ule ni kiini macho tuu. Ukitaka ujue mwanamke ni mzuri ni kwa njia mbili tuu ni aidha avae nguo za kawaida za heshima au avue nguo zote bado ukamwona anakuvutia, wakati huo factors zingine huko juu nilizoeleza zikiwa costant.
Sio umeona mraba wa chupi nyuma ya matako ukapandwa na mihemko yako ndio unasema huyu demu ni mzuri. Ukishakaa naye unashangaa pyeeee uzuri umeyeyuka.

Kwenye ndoa ni vizuri ujue nini utakacho, nini kwako ni uzuri ambao utaifanya familia yako kuwa vile utakavyo. Kama ndoa kwako nguzo kuu ni ngono, basi ni vizuri utafute mwanamke mzuri wa kimaumbile kwa mvuto wa ngono.
Lakini kama kwako ndoa na familia yako ni package ya mambo mengi ikiwemo akili, uchapakazi, tabia njema n.k basi ni vizuri utafute mwanamke mzuri katika maeneo hayo.

Mimi acha nipumzike. Sabato Njema.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hivi kuna wanaume wanavutiwa na hizo mambo sijui makeup, mawigi, kucha za bandia, powder n.k?

Mimi wanawake huwa nawaambia hakuna mwanaume anayevutiwa na wigi na hizo takataka nyingine wanazojipamba

Ila kama wanafanya hizo makeup na mengine kutambiana wao wenyewe wanawake ni sawa

Ila hakuna mwanaume anayevutiwa na hizo takataka
 
Umeeleza vema Sana uko vizuri mkuu
 
Hivi kuna wanaume wanavutiwa na hizo mambo sijui makeup, mawigi, kucha za bandia, powder n.k?

Mimi wanawake huwa nawaambia hakuna mwanaume anayevutiwa na wigi na hizo takataka nyingine wanazojipamba

Ila kama wanafanya hizo makeup na mengine kutambiana wao wenyewe wanawake ni sawa

Ila hakuna mwanaume anayevutiwa na hizo takataka
Wapo ndugu yangu Yani usigeneralize mtazamo wako uwe wa wote ...Wapo wanaume wanaoyumbishwa Sana na hayo mambo mfano wa vyuoni,wanaopata hela kubwa mapema
 
Mi Demu akipaka lipshine huwa ananivutia

Back
Top Bottom