Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Nguvu ya mchagga ni UNAFIKI.

Atakuchewa vhekea, atajifanua mwema Kama Kuna kitu anataka kwako.

Akikipata hutaamini Kama ni yeye.
 
Nguvu ya mchagga ni UNAFIKI.

Atakuchewa vhekea, atajifanua mwema Kama Kuna kitu anataka kwako.

Akikipata hutaamini Kama ni yeye.
Yes, Kuna siku nimeenda Kenya eneo la Kajiado. Nilikuta wakikuyu wanabebesha punda mizigo mizigo, pumda anapigwa amejaa vidonda mwili mzima lakini hawajali.

Ndio nikagundua watu wana roho za namna gani
Kama wazungu tu [emoji3][emoji3]
 
Paundwe tume ya kitaifa. Kuchunguza na kutoa mapendekezo dhidi ya Wakwe
 
Kutana na mwanamke kutoka machame ww hawanaga kitu inaitwa mapenzi sijui upendo wanachoangalia kwanza ni ulicho nacho wakukamue hadi ubaki na bukta lako la mtumba alafu ukifulia utimuliwe na makofi juu
 
Hivi unalalaje zaidi ya siku mbili ukweli.unachatije na mkwe?
 
Mkwe sio watu mie baba ake wife alikua ananizoea Sana mara kila baada ya siku mbili simu nyingi salamu mara ya kwanza nilikua napokea ila nilivyoana zimezidi nikawa sipokei alafu namuuliza wife Mzee amepiga alikua na shida gani baada ya hapo akaacha kupika kwangu na akiwa na shida anamwambia mwanae mie Wala siusiki kabisaa sitaki mazoea kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…