MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Nguvu ya mchagga ni UNAFIKI.1. Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki
2. USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
3. Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Atakuchewa vhekea, atajifanua mwema Kama Kuna kitu anataka kwako.
Akikipata hutaamini Kama ni yeye.