Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Hio mil 7 ulimpa bila kujua unachokifanya ,swala la kukopesha Ni njia tu ma'mkwe aliitumia ili apate mzigo ila alikua anaomba.

emoji23.png
emoji23.png
basi h

Hio mil 7 ulimpa bila kujua unachokifanya ,swala la kukopesha Ni njia tu ma'mkwe aliitumia ili apate mzigo ila alikua anaomba.

[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo mama mkwe katumia utapeli kupata hiyo pesa ?
 
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki.

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Migombani ndo wap mzee
 
Back
Top Bottom