Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Wakwe na ukweni sio mahali pa kupazoea ovyo. Nenda huko kwa sababu muhimu na maalumu, wasiliana nao kwa sababu muhimu, sio kila siku unanyanyua simu kumpigia mama mkwe, kila holiday wewe ni kwa wakwe tu...

..halafu mkwe hakopeshwi, aliomba kiaina, hukujua ukatoa mkopo, pole sana!
Si alitaka aonekane Kidume kuliko wenzie waliomtangulia kuo Uchagani!! Sasa apambane na hali yako!! Mimi nimeoa Uchagani lakini Wakwe na Mashemeji zangu hawawezi kuja tu mbele na kuanza kuleza matatizo yao kwangu,lazima watapitia kwa Wife,ambae ni rahisi kumpa jibu ili apeleke ujumbe kwa ndg zake!!
 
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.

Pole mkuu. Inaonesha ulitendwa vilivyo. Umeandika kwa gadhabu hasa.
 
Back
Top Bottom