Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Nimeoa mchaga wa Rombo Boss, hawana shida.Ila nasikia wachaga wa Rombo sio Palestinian! Sijui ni kweli hili! Wao wana roho nzuri,sio mbaya sana
Usisahau, usioe mwanamke asiye na bikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeoa mchaga wa Rombo Boss, hawana shida.Ila nasikia wachaga wa Rombo sio Palestinian! Sijui ni kweli hili! Wao wana roho nzuri,sio mbaya sana
Rombo afadhali
Kama choka mbaya basi kila mmoja apambane nahali yakeKama wanazo. Wengine tumeoa choka mbaya
Si alitaka aonekane Kidume kuliko wenzie waliomtangulia kuo Uchagani!! Sasa apambane na hali yako!! Mimi nimeoa Uchagani lakini Wakwe na Mashemeji zangu hawawezi kuja tu mbele na kuanza kuleza matatizo yao kwangu,lazima watapitia kwa Wife,ambae ni rahisi kumpa jibu ili apeleke ujumbe kwa ndg zake!!Wakwe na ukweni sio mahali pa kupazoea ovyo. Nenda huko kwa sababu muhimu na maalumu, wasiliana nao kwa sababu muhimu, sio kila siku unanyanyua simu kumpigia mama mkwe, kila holiday wewe ni kwa wakwe tu...
..halafu mkwe hakopeshwi, aliomba kiaina, hukujua ukatoa mkopo, pole sana!
Hata ukimkopesha Mama mkwe wa kizaramo,sahau hiyo pesa!!Million 7! Unakopesha!
Huyo mkopeshaji ni ajitafakari
Hili suala si la mchaga wala sijui nani mbona kila siku watu wanalalamika khs kumkopesha ndugu au rafiki ni hatari.
Ni kwelHata ukimkopesha Mama mkwe wa kizaramo,sahau hiyo pesa!!
Ndio hivyo suala la uaminifu siku hizi limeshakuwa gumu kwa makabila yote.Hata ukimkopesha Mama mkwe wa kizaramo,sahau hiyo pesa!!
SawaMimi ni msukuma mnyamwezi niliyeolea Uchagani, Rombo
Hahahaha, hizi sampuli tatu waache waone wenyewe!Machame, Kikuyu, Meru ni asili Moja...kaa kitaalamu
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.