Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mkianza kuzungumzia WAHA kuoa WACHAGA mnitag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ujasiri wa kumkopesha mama mzazi unatoka wapi?Hata mama yako mzazi mkuu???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kyasaka
Ukisikia wapalestina ni wachaga kutoka machame meku....#Wenaehuelewiiii?Aisee kweli mambo mengi yananipita..
Kumbe Palestina ni uchagani?
Dear nitumie laki 5 kina ishu naifukuziaDoooh... mwanaume Mgumu kama mkate wa kiisraeli [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Alivyoomba mkopo wa 100,000/= wewe ungemkopesa 50,000/=Ukweni sio nishaapa hakuna ndugu wa mke atakuja na shida mm nitoe pesa yangu mfukoni kumpa kuna shemeji yangu dada wa wife alinionba nimkopeshe laki 1 atanirudishia baada kama ya siku 3 mbele ebwanaaeee nkaingia kingi nkampa ndo mpaka leo mwaka wa pili huu tena kajikausha kama hakijatokea kitu nkasema anhaaaa ook kumbe hivyo tu jambo dogo sanaaa tangu siku hiyo ndugu zake wife wote atakaeomba msaada wa kipesa basi anaambulia ushauri
Mkuu pesa ilikuwepo wakati huo kwann umpe nusu mtu wako wa karibu analia shida na una uwezo wa kumsaidia kwa wakat huo???? Hata hiyo 50 si asingerudisha?? YaleyaleAlivyoomba mkopo wa 100,000/= wewe ungemkopesa 50,000/=
Juzi tu wife..kamkopesha mamkwe hela ambayo tuliipangia matumizi mengi...hata sijui kama hii hela itarudi.Ishakataa kukopwa ukweni labda wao ndio wawe wananikopesha ila sio mimi