DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 May 14, 2024 #1 Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako. Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
Usitegemee mwanasiasa akuletee urahisi wa maisha yako. Kila biashara ina mtaji na mtaji wa mwanasiasa ni mtu mjinga ambae hajielewi ndo anaweza kukalishwa kwenye jua na kupangishwa foleni ili kupiga kura.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 May 14, 2024 #2 Duuuh ukweli mchungu. Kwaiyo na sisi wapiga kura ni wajinga
Mhafidhina07 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 3,340 Reaction score 4,659 May 14, 2024 #3 kaka unamefikia huku kisa zoezi la daftari au kuna jengine. sometimes ukijifanya una akili nyingi unajikuta umekuwa mjinga
kaka unamefikia huku kisa zoezi la daftari au kuna jengine. sometimes ukijifanya una akili nyingi unajikuta umekuwa mjinga