Dessalines
JF-Expert Member
- Feb 15, 2024
- 268
- 108
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refrigerant ni R410?Samsung AC Inverter
Samsung Ac AR12TVH (btu 12)........1,350,000/=
Samsung Ac AR18TVH (btu 18) .........1,800,000/=
Samsung AC AR24TVH (btu 24) - 2,100,000/=*
0713520180View attachment 2939860
Kama unataka kufungiwa ac utapewa maelekezo zaidi baada ya fundi kutembelea eneo lako na kujua unataka ac yenye ukubwa ganiKatika kitu mnafeli wauza AC ni pamoja na kushindwa kuelezea utumiaji umeme wa AC yaani unauza kitu ambacho mteja anahitaji ila mashaka yake yapo kwenye consumption ya umeme.
Kwann msitest AC zenu zote halafu mje na clear report ya kila AC kwa matumizi maximum inatumia umeme kiwango gani ili mtu akifunga anajua anatumiaje.
Watz wengi tunajua AC zinakula umeme sana yaani kwa siku ikiwashwa full inakula unit 30 hicho ndicho tunahisi. Hebu fanyeni kutoa elimu.
Sijaelewa unamaanisha niniRefrigerant ni R410?
Gas inayotumika kwenye hizo AC ni ya aina gani? Maana kuna R22, R410A, R134a, and R404ASijaelewa unamaanisha nini
Kama unahitaji nione nikupe namba za fundi wangu ambaye yeye ndo huwa anafungia watejaGas inayotumika kwenye hizo AC ni ya aina gani? Maana kuna R22, R410A, R134a, and R404A
Duh..!!! Unauza kitu hukijui..!!Kama unahitaji nione nikupe namba za fundi wangu ambaye yeye ndo huwa anafungia wateja
0713520180
Kuna muuzaji na mtu anayehusika na mambo ya technical
Asante. Ila mtu wa sales kutojua vitu vidogo kama hivyo hapana aisee..!!Kuna muuzaji na mtu anayehusika na mambo ya technical
Mimi nauza vitu vingi sasa ufanye kila kitu na watu wengine wafanye nini
Jifunze specialization na division of labour
Mfano muuza fridge au tv hawezi jua technical aspect za hivyo vitu au muuza magari ukitakujua mambo ya technical aspect atakuunganisha na fundi
Na mwisho wa siku wewe sio mteja ndo maana unafanya dhihaka usiishie kumuota huyo mmoja ita na wengine wengi