Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa baada ya miezi michache ijayo utawasikia najivunia kumbebea mimba mfanyakazi mwarabu wa DP world.
Yani yatapachikwa mimba kama mazuzu. Wachina na waturuki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harafu ubahatike uchungulie kwenye wodi yao, utaona mwengine anakaa chini mara anarudi kitandani, mwingine ameshatembelea magoti kutoka kutoka kitandani mpaka mlangoni[emoji28] huo wote uchungu
Ni mijitu mipumbavu tu ndio inaweza kuanza kupeleleza na kuleta umbeya wa wodi za kinamama.1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba.
2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu.
3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa.
4. Sizai tena labda anibake.
5. Yaani huyu Bwege ndiyo ananifanya Mimi nilambe Mkaa kila mara?
6. Safari ijayo nagawana nae Mimba ili ajue Mateso ninayopata.
7. Nikilala nae tena baada ya Kujifungua akatambike Kwao ila simpi tena na sasa namchukia mno.
Kinachoshangaza hawa Wanawake wote wanaokuwa na kauli hizi za Hasira za Mimba zao wakijifungua tu kumaliza Siku 40 zao Wao ndiyo hupandwa mno na Genye na kutaka Mikuyenge iwasuuze tena.
Wanawake wote wa JF Shikamooni.
TehNi mijitu mipumbavu tu ndio inaweza kuanza kupeleleza na kuleta umbeya wa wodi za kinamama.
Huyu dada anaeitwa Gentamycine Kwa kweli amewadhalilisha wenzake. yeye badala ya kujifungua anaanza kufanya yasiyomhusu akijifungua njiti halafu atakuja kulialia hapa!