Usithubutu ukiwa Hospitalini ukapita jirani na foleni za Wamama Wajawazito, utazikoma kauli zao

Sio kweli... mwanamke mjamzito ndio binadamu anayempenda bila hata kumjua Wala kumuona,wajawazito wanakuwa na shauku na Imani kuu japo wanapitia kwenye blonde la uvuli wa mauti
 
Sasa baada ya miezi michache ijayo utawasikia najivunia kumbebea mimba mfanyakazi mwarabu wa DP world.

Yani yatapachikwa mimba kama mazuzu. Wachina na waturuki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Harafu ubahatike uchungulie kwenye wodi yao, utaona mwengine anakaa chini mara anarudi kitandani, mwingine ameshatembelea magoti kutoka kutoka kitandani mpaka mlangoni[emoji28] huo wote uchungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mijitu mipumbavu tu ndio inaweza kuanza kupeleleza na kuleta umbeya wa wodi za kinamama.
Huyu dada anaeitwa Gentamycine Kwa kweli amewadhalilisha wenzake. yeye badala ya kujifungua anaanza kufanya yasiyomhusu akijifungua njiti halafu atakuja kulialia hapa!
 
Teh
 
Leo popoma Huna Uzi wa mpira na mwamposaa au bwana cherehani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…