chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mahusiano ni sehemu ya maisha yetu na kwa wale ambao wanaingia kwenye mahusiano ndio wanaongoza kuwa na ahadi kama kichwa cha habari.
Ahadi kuwa utamuoa au akuoe hii kitu usije kufanya kama hujatulia, bado ujapanga kufanya hivo.
Ahadi kuwa utamuoa au akuoe ina matatizo makubwa mpaka wengine kufikia kurogana au kufanyiana jambo baya sana.
Watu wengi hili neno la ahadi kuwa utamuoa au akuoe wanaliingiza kwenye kuwapata wenza wao kwa haraka. Ukiangalia hata fomula ya kutongoza uwezi kosa hilo neno kwenye maneno 30.
Ahadi upelekea watu kuwa maadui pale wasipo fanikisha.