Wewe hata sijui kama unajielewa!Hakuna cha mila wala nini.
Hizo mila zingekuwepo kusingekuwa na Ukristo na uislamu katika hizo jamii mnazoziita zinamila.
Mbona siku hizi hamkeketi na wakati ilikuwa mila?
Mahari haina maana yoyote Kati ya watu wawili walioamua kuishi pamoja na wenye kupendana.As long as hatufahamiani kwamba utaweza kunithibitishia hilo na sizijui mila za kwenu tuhitimishe kwa kusema ninyi ni jamii ya kipekee.
Na kila jamii ina taratibu zake huwezi kuhamisha taratibu zenu kwa wasiohusika acha wale wenye tamaduni hizo wafanye ninyi bakini na tamaduni zenu.
Wewe hata sijui kama unajielewa!
Uwe na weekend njema mzee.
Mahari haina maana yoyote Kati ya watu wawili walioamua kuishi pamoja na wenye kupendana.
Labda wewe useme ni mantiki ipi ya kutoa mahari?
Mabinti waliokuwa wakikeketwa zama za Giza wengi waliona sahihi, lakini siku zilivyoenda lilianza kuonekana jambo la ajabu na hatarishi.
Nilisikia mahala binti alitaka kurudi kwao baada ya kushindwa ndoa ya kiislamu mwanaume akamwambia lazima urudishe gharama zangu,
Kwanini arudishe gharama wakati alitoa kwa hiari yake?
Tupe mantiki ya mahari ni nini?
Naunga mkono maoni yako.Wewe hata sijui kama unajielewa!
Uwe na weekend njema mzee.
Mkuu mtibeli,Zamani waliokataa mabinti wasisome nao walikuwa kama hawa wanaoshadadia mahari. Waulize wako wapi?
Kwani mahari ni sh ngapi enyi vijana?Hili jambo inabidi liishe. Mila za kijinga inabidi zikomeshwe.
Huyu mleta uzi mfuatilie vizuri ni mtu mwenye imani potofu sijui utabeli na inaonyesha ana ufukura ule wa ndani ndani...mchoyo na mlafiWewe hata sijui kama unajielewa!
Uwe na weekend njema mzee.
Kwani mahari ni lazima?Kwani mahari ni sh ngapi enyi vijana?
Mahari ni mapokea mazuri tu, hii inaitwa zawadi kwa wazazi.
Makabila mengibe mahari ni pombe watu wanywe pande zote wafurahi.
Wengine wanapeleka soda na nyama nazo mnakula na kunywa pamoja.
Ukichunguza vizuri wapinga mahari ni masikini na wachoyo ndio wanapinga.
Mleta uzi ni mpare bahili tu asiwachote.
Tu-assume mahari haina mantiki.Tupe mantiki ya mahari ni nini?
Ongeza hapo na ni attention seeker,baba'ake mwenyewe mkewe ambaye ni mama yake hakupewa bure lakini leo kinda lake linalia lia hapa habari za mahari.Huyu mleta uzi mfuatilie vizuri ni mtu mwenye imani potofu sijui utabeli na inaonyesha ana ufukura ule wa ndani ndani...mchoyo na mlafi
Tuite ni zawadi kwa wazazi.Tu-assume mahari haina mantiki.
Ok tuiite ni zawadi kwa wazazi wa mke wangu mtarajiwa,kwani hiyo hela nitakayoambiwa niitoe kama mahari ni billion ngapi?mimi nimeoa mahari 800K hiyo ni hela gani ya kuishupazia shingo ikiwa nitataka leo kubishana na wazazi wanaotaka kunipa binti yao akanizalie watoto kwa hela ndogo kama hiyo?
[emoji375][emoji375][emoji375]Kwani mahari ni sh ngapi enyi vijana?
Mahari ni mapokea mazuri tu, hii inaitwa zawadi kwa wazazi.
Makabila mengibe mahari ni pombe watu wanywe pande zote wafurahi.
Wengine wanapeleka soda na nyama nazo mnakula na kunywa pamoja.
Ukichunguza vizuri wapinga mahari ni masikini na wachoyo ndio wanapinga.
Mleta uzi ni mpare bahili tu asiwachote.
Halooo dunia imevamiwa Yani wasitoe mahari [emoji23][emoji23][emoji23]Mahari inalipwa Toka enzi...
Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoleta, hata iwe kubwa kiasi gani nitawalipa chochote mtakachonidai.
Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.
Mimi mahari nitatoa tena ya kujipendekeza kabisa.Halooo dunia imevamiwa Yani wasitoe mahari [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutoa mahari ni lazima kama utahitaji kuoa sio ombi.
Hata watoto wakike walikuwa hawaruhusiwi kusoma.Hizi ni sumu dhidi ya Mila na Tamaduni za Mwaafrika.
Kuna majitu yanajifanya yanajua sana kumbe roho ya uchoyo na umasikini unawasumbua tu.Ongeza hapo na ni attention seeker,baba'ake mwenyewe mkewe ambaye ni mama yake hakupewa bure lakini leo kinda lake linalia lia hapa habari za mahari.
Ujinga mtupu.