Usitoe mahari, epuka mila potofu

Usitoe mahari, epuka mila potofu

As long as hatufahamiani kwamba utaweza kunithibitishia hilo na sizijui mila za kwenu tuhitimishe kwa kusema ninyi ni jamii ya kipekee.

Na kila jamii ina taratibu zake huwezi kuhamisha taratibu zenu kwa wasiohusika acha wale wenye tamaduni hizo wafanye ninyi bakini na tamaduni zenu.
Mahari haina maana yoyote Kati ya watu wawili walioamua kuishi pamoja na wenye kupendana.

Labda wewe useme ni mantiki ipi ya kutoa mahari?

Mabinti waliokuwa wakikeketwa zama za Giza wengi waliona sahihi, lakini siku zilivyoenda lilianza kuonekana jambo la ajabu na hatarishi.

Nilisikia mahala binti alitaka kurudi kwao baada ya kushindwa ndoa ya kiislamu mwanaume akamwambia lazima urudishe gharama zangu,
Kwanini arudishe gharama wakati alitoa kwa hiari yake?

Tupe mantiki ya mahari ni nini?
 
Wewe hata sijui kama unajielewa!

Uwe na weekend njema mzee.

Umesema mambo ya mila.
Ndio nimekujibu kuwa zipo makumi kwa mamia ya mila ambazo zilikuwa potofu na sasa hazifuatwi. Ndio nikakuambia hata hiyo mil ya kutoa majani Mila potofu na soon itafutwa na Ukweli.

Ukasema sijui kuna Watu wenye mila(ambao ninawaona wanafiki) nikakuambia hujui ni mila na desturi kuwa kila kabila kuwa na dini yake? Sikujui lakini ninauhakika wewe sio mzungu lakini mkristo, sasa kama mnafuata mila Ukristo umetokea wapi?
 
Mahari haina maana yoyote Kati ya watu wawili walioamua kuishi pamoja na wenye kupendana.

Labda wewe useme ni mantiki ipi ya kutoa mahari?

Mabinti waliokuwa wakikeketwa zama za Giza wengi waliona sahihi, lakini siku zilivyoenda lilianza kuonekana jambo la ajabu na hatarishi.

Nilisikia mahala binti alitaka kurudi kwao baada ya kushindwa ndoa ya kiislamu mwanaume akamwambia lazima urudishe gharama zangu,
Kwanini arudishe gharama wakati alitoa kwa hiari yake?

Tupe mantiki ya mahari ni nini?

Zamani waliokataa mabinti wasisome nao walikuwa kama hawa wanaoshadadia mahari. Waulize wako wapi?
 
Hili jambo inabidi liishe. Mila za kijinga inabidi zikomeshwe.
Kwani mahari ni sh ngapi enyi vijana?
Mahari ni mapokea mazuri tu, hii inaitwa zawadi kwa wazazi.

Makabila mengibe mahari ni pombe watu wanywe pande zote wafurahi.

Wengine wanapeleka soda na nyama nazo mnakula na kunywa pamoja.

Ukichunguza vizuri wapinga mahari ni masikini na wachoyo ndio wanapinga.

Mleta uzi ni mpare bahili tu asiwachote.
 
Kwani mahari ni lazima?
 
Tupe mantiki ya mahari ni nini?
Tu-assume mahari haina mantiki.

Ok tuiite ni zawadi kwa wazazi wa mke wangu mtarajiwa,kwani hiyo hela nitakayoambiwa niitoe kama mahari ni billion ngapi?mimi nimeoa mahari 800K hiyo ni hela gani ya kuishupazia shingo ikiwa nitataka leo kubishana na wazazi wanaotaka kunipa binti yao akanizalie watoto kwa hela ndogo kama hiyo?
 
Huyu mleta uzi mfuatilie vizuri ni mtu mwenye imani potofu sijui utabeli na inaonyesha ana ufukura ule wa ndani ndani...mchoyo na mlafi
Ongeza hapo na ni attention seeker,baba'ake mwenyewe mkewe ambaye ni mama yake hakupewa bure lakini leo kinda lake linalia lia hapa habari za mahari.

Ujinga mtupu.
 
Tu-assume mahari haina mantiki.

Ok tuiite ni zawadi kwa wazazi wa mke wangu mtarajiwa,kwani hiyo hela nitakayoambiwa niitoe kama mahari ni billion ngapi?mimi nimeoa mahari 800K hiyo ni hela gani ya kuishupazia shingo ikiwa nitataka leo kubishana na wazazi wanaotaka kunipa binti yao akanizalie watoto kwa hela ndogo kama hiyo?
Tuite ni zawadi kwa wazazi.

Swali langu umelikimbia.

Ok, zawadi hiyo ni lazima kutoa?
Ninachofahamu zawadi ni unapanga kutoa wewe kwa mtu fulani.

Embu niambie hiyo zawadi ya 800k ulifika ukasema mzee nakupa zawadi ya 800k?
 
Mleta mada najitolea kukulipia mahari kiasi chochote utakachoambiwa.
Issue hapa ni uchumi wa mleta mada huwezi kuwa na stable financial ukawa na akili na mawazo ya mleta mada.

Karibu PM endapo utapenda.
 
Ni ajabu hadi leo hujui maana ya mahari au unajua ila umeamua tu kupotezea hiyo maana na kushikilia msimamo wako

Mahari siyo kumnunua mwanamke bali ni fidia inayolipwa kwa familia ya mwanamke kwa sababu mwanamke anapoolewa familia yake inahesabu imelose, while ya mwanaume imegain kwa sababu mke na watoto watakaozaliwa wataenda kutumia majina ya familia ya mume, ndio maana jamii nyingi anayepokea hiyo mahari ni wazazi au walezi au ndugu wa mke na si mke mwenyewe kwa maana mke ataenda kuhudumiwa na mumewe huko ndoani

Sasa tukitaka kufuta mahari basi tufute na utamaduni wa watoto kutumia majina ya upande wa wanaume tu bali pia watumie na ya upande wa mwanamke kama wanavyofanya jamii nyingi za wazungu, kuna uzi niliona ulisema hakuna mtu anayelazimishwa kutumia majina ya baba yake sasa huo ni mtazamo wako je unafikiri wanaume wote watakubali hilo, wengi watakuunga mkono hapo kwenye kufuta mahari tu ila siyo kwenye suala la majina
 
Kwani mahari ni sh ngapi enyi vijana?
Mahari ni mapokea mazuri tu, hii inaitwa zawadi kwa wazazi.

Makabila mengibe mahari ni pombe watu wanywe pande zote wafurahi.

Wengine wanapeleka soda na nyama nazo mnakula na kunywa pamoja.

Ukichunguza vizuri wapinga mahari ni masikini na wachoyo ndio wanapinga.

Mleta uzi ni mpare bahili tu asiwachote.
[emoji375][emoji375][emoji375]
 
Mahari inalipwa Toka enzi...

Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Niambieni kiasi cha mahari na zawadi nitakayoleta, hata iwe kubwa kiasi gani nitawalipa chochote mtakachonidai.
Nipeni tu huyu msichana awe mke wangu.
Halooo dunia imevamiwa Yani wasitoe mahari [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutoa mahari ni lazima kama utahitaji kuoa sio ombi.
 
Hizi ni sumu dhidi ya Mila na Tamaduni za Mwaafrika.
Hata watoto wakike walikuwa hawaruhusiwi kusoma.
Mabinti waliokeketwa walikufa kwa kupoteza damu nyingi sababu ya Mabibi wajinga waliorithishwa na wazazi wao.
 
Ongeza hapo na ni attention seeker,baba'ake mwenyewe mkewe ambaye ni mama yake hakupewa bure lakini leo kinda lake linalia lia hapa habari za mahari.

Ujinga mtupu.
Kuna majitu yanajifanya yanajua sana kumbe roho ya uchoyo na umasikini unawasumbua tu.

Huyu jamaa kusoma MADA zake anajaza watu upupu hana lolote
 
Back
Top Bottom