To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Sawa nimekuelewa Mkuu,ni sawa tu vyovyote tukichukuliwa,ila mahari inawapasa mtoeNdio maana nikasema kuwa kuna tofauti ya mtu na mnyama, mtu hamilikiwi ila mnyama anamilikiwa.
Faiza anasema huko shuleni mnaenda kusomea ujinga.
Kisheria hata mahakamani hakuna statement ya kumiliki mtu.
Ila kizamani kwa vile Mwanamke hakuwa mtu bali alikuwa sawa na mnyama ndio maana alinunuliwa na ndio kuna kauli kama hizo za kumilikiwa.