Usitoe sadaka, umeshatoa

Usitoe sadaka, umeshatoa

Nimeamini kwamba kuwa na uwezo wa kuandika hoja ni kitu kimoja na kujenga hoja yenye maana pia ni swala lingine.

Kwa wakristo wenzangu someni Malaki 3:8-12.
Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Watu :Wanaangazwa" sio wanaangamia, kwa kukosa maarifa. Wala sadaka wanawaangamiza watu kwa kukosa maarifa, tangu lini pesa uliyoiweka kwenye kihenge pale madhabahuni ikaenda kwa Mungu? inakwenda kwa Mungu kufanya nini? Mungu ainaitaka ya nini!!! Ukizunguuka kidogo kule nyuma utamkuta mchunga kondoo anapiga mvinyo kwa sadaka yako hiyohiyo.

Kuna mwingine alikutwa kule kawe amelewa chakari kwa sadaka yako, wengine wanaendesha ma Prado, wengine wamenunua Ndege, wengine wana mashamba ya kufa mtu, wengine wana mabenki, wengine wana mabiashara makubwamakubwa, wengine wanasomesha watoto wao ulaya, wengine wanahonga kampeni za uchaguzi wape kiongozi wanaowataka kwa maslahi yao, waondolewe ushuru kwenye bidhaa zao, nk.
 
Watu :Wanaangazwa" sio wanaangamia, kwa kukosa maarifa. Wala sadaka wanawaangamiza watu kwa kukosa maarifa, tangu lini pesa uliyoiweka kwenye kihenge pale madhabahuni ikaenda kwa Mungu? inakwenda kwa Mungu kufanya nini? Mungu ainaitaka ya nini!!! Ukizunguuka kidogo kule nyuma utamkuta mchunga kondoo anapiga mvinyo kwa sadaka yako hiyohiyo. Kuna mwingine alikutwa kule kawe amelewa chakari kwa sadaka yako.
Kasome malaki 3:8-22. Wewe unabishana na mimi kwa kutumia hisia zako. Mimi nakubishia na andiko la Mwenyezi Mungu. Mkuu uko sawa kweli?
 
Watu :Wanaangazwa" sio wanaangamia, kwa kukosa maarifa. Wala sadaka wanawaangamiza watu kwa kukosa maarifa, tangu lini pesa uliyoiweka kwenye kihenge pale madhabahuni ikaenda kwa Mungu? inakwenda kwa Mungu kufanya nini? Mungu ainaitaka ya nini!!! Ukizunguuka kidogo kule nyuma utamkuta mchunga kondoo anapiga mvinyo kwa sadaka yako hiyohiyo. Kuna mwingine alikutwa kule kawe amelewa chakari kwa sadaka yako.
Weww unavyopeleka mbuzi na kuku mwenye madoa kwa mganga anakwambia watakula mizimu, una hakika watakula mizimu? Umewahi kuiona?
 
Mungu wetu alishatuumba, akawakabidhi wazazi wako wakamilishe mchakato uliobakia wa kukuzaa, kukulisha, kukuvalisha na kukutunza kwa muda fulani kabla na wewe hujaanza kujitunza na kuzaa watoto wengine. Kama ni sadaka mpe mzazi wako anaeweza kuitumia hiyo sadaka sio Mungu, kwakuwa Mungu hana matumizi ya sadaka; fedha, chakula wala mifugo yako maana vitu vyote ni vyake vinatoka kwake na anavyo vingi kuliko baba na mama yako. Wazazi wako wana matumizi, wana mwili, wana mdomo, na wana tumbo, hivyo wanajua nini cha kufanya ukiwapa pesa, nguo, chakula, mifugo. Mungu wetu anataka ushukuru tu na kumsifu kama vile unavyomsifu TOYOTA kwa kutengeneza aina ya gari lako unaloliendesha. Baada ya TOYOTA kutengeneza gari lako kazi yako ni kuisifu toyota lakini sio kutoa zawadi, malipo au kuiomba toyota ikupatie mafuta ya gari lako, ukupakie rangi gari lako wala kulifanyia matengenezo gari lako.

Kuna watu wanapoteza Muda wao mwingi kwa Kuomba Mungu badala ya Kushukuru mungu, Kuna watu wanapoteza mali zao nyingi kwa kutoa sadaka kwa Mungu badala ya kuwapa wazazi wao. Wanakosea sana na hawajui walifanyalo zaidi ya kuwatajirisha watu wanaozipokea mali (sadaka) zao. Mungu hana shida lakini wazazi wako wana shida.

Anza na wazazi wako kwanza uone mambo yako yatakavyokunyookea haraka. Kama kila mtu akihangaika na wazazi wake Mungu atasikia vilio na maombi yao haraka kwakuwa wazazi ndio bomba lako linalopitisha maombi kutoka kwako kupitia kwa wazazi, mababu, mitume, kupitia kwa Adam na Hawa hadi kumfikia Mungu, kwakuwa Adam na Eva wanamfahamu Mungu zaidi kuliko wewe, na babu yako yuko karibu na Adam, baba yako yuko karibu na babu yako, na wewe uko karibu na baba yako. Ndiyo maana kila anaewadharau wazazi na mababu zake hafiki mbali kwakuwa Mungu yuko karibu nao zaidi kuliko wewe.

kila mtu anatoa sadaka kila siku anapomsaidia mtu mwingine jambo, hata kumuonyesha mtu njia, kumpa mtu maji ya kunywa, kumbeba, kumpa chakula au soda, umeshalipa sadaka tayari, lakini mzazi wako ni wajibu sio hiari kumpa sadaka zako.

Sadaka unayotoa haifiki kwa Mungu bali inaliwa tu na wajanga wanaojifanya wanaipeleka kwa Mungu. Tafuta mayatima na wajane wape kama unataka kuwapa, lakini wajali zaidi wazazi wako, utaona mambo na miujiza wasiyoiweza "watumishi wa mungu" unaowapa hela zako kila siku. Unatapeliwa ndugu yangu, fumbua macho yako.
Ila una hoja kuntu muzee.
 
Maandiko yanayosema wasaidie yatima na wajane, wao watampa nani sadaka? We jamaa
hakuna asiyetoa sadaka wala kupokea sadaka hata mmoja hapa chini ya jua, ndio maana ya msemo wa "hakuna aliye mkamilifu", ila tunatofautiana aina ya sadaka tunazotoa na tunazopokea.

Kuna wanaohitaji chakula, nguo, maji, malazi, kufundishwa, kuonyeshwa, kupikiwa, kufuliwa, kusindikizwa, kuogeshwa, kubebewa, kuuguzwa, kulishwa, nk. Hata yatima na mjane kuna kitu anaweza kutoa hata kama sio mali.
 
Kampeni ya kuwapotosha watu wasitoe sadaka Ili shetani afanikiwe
 
Hizo ha
hakuna asiyetoa sadaka wala kupokea sadaka hata mmoja hapa chini ya jua, ndio maana ya msemo wa "hakuna aliye mkamilifu", ila tunatofautiana aina ya sadaka tunazotoa na tunazopokea. Kuna wanaohitaji chakula, nguo, maji, malazi, kufundishwa, kuonyeshwa, kupikiwa, kufuliwa, kusindikizwa, kuogeshwa, kubebewa, kuuguzwa, kulishwa, nk. Hata yatima na mjane kuna kitu anaweza kutoa hata kama sio mali.
Hizo haziitwi sadaka.
Sadaka ni upatanisho Kati yako na Jifunze kwanza nini maana ya sadaka. Usichanganye mambo kuleta upotoshi, shetani uwatumia wakala zake Ili kupotosha juu ya sadaka,
 
ZIFAHAMU AINA ZA SADAKA NA FAIDA ZAKE

Date: April 21, 2020Author: Peter Ogast4
Sadaka ni sehemu ya utoaji unaoacha pengo Katika Mali zako, yaani baada ya kutoa unaona mahali ulikotoa Mali hiyo pameachwa wazi.Hata hivyo Biblia inasema utoaji Wa kweli ni kujitoa nafsi yako kwanza kwa Mungu kama dhabihu mtakatifu ya kumpemdeza Mungu.
“Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.”
(rom 12: 1)

Mungu anatengemea tutor nafsi, roho na miili yetu kama sehemu ya sadaka kwa Mungu. Itakusaidia nini kama utajitoa kwa ulimwengu na KUFANYA viungo vyako kuwa silaha za dhuluma kwa ulimwengu Bali tujitoe kwa Mungu kuwa sadaka kwa Mungu.(1Kor 6:13-16 )
————
13 Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.

14 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.

15 Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!

16 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.

Mwili wako, nafsi yako na roho yako utoe kwa BWANA kama dhabihu takatifu kwa BWANA. Yafutayo ni mambo saba unayopaswa kujua KUHUSU sadaka yako, kama ifuatavyo;

1. SADAKA INANENA MBELE ZA BWANA
Sadaka yako unaweza kunena vena Mbele za Mungu ikawa UKUMBUSHO Wa Yale uliyomba kwa Mungu, Sadaka haiwezi kunyamaza hata kidogo.

Mfano:1. KORNELIO

1 Palikuwa na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitalia,
Matendo ya Mitume 10 :1

2 mtu mtauwa, mchaji wa Mungu, yeye na nyumba yake yote, naye alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu daima.
Matendo ya Mitume 10 :2

3 Akaona katika maono waziwazi, kama saa tisa ya mchana, malaika wa Mungu, akimjia na kumwambia, Kornelio!
Matendo ya Mitume 10 :3

4 Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10 :4

MFANO:2 DORKASI

(Mat 9 )
————
36 Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.

37 Ikawa siku zile akaugua, akafa; hata walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.

38 Na kwa kuwa mji wa Lida ulikuwa karibu na Yafa, nao wanafunzi wamesikia ya kwamba Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi na kusema, Usikawie kuja kwetu.

39 Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu orofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonyesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao.

40 Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.

41 Akampa mkono, akamwinua; hata akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, hali yu hai.

2.TOA SADAKA YAKO KWA IMANI.
Katika utoaji wako iwe fungu LA kumi,limbuko, sadaka ya nadhiri,au changizo lolote. Toa kwa IMANI. Toa kwa matarajio fulani kuwa MUNGU atakusaidia katika jambo Fulani. Hiyo nfiuo tafsiri ya IMANI. IMANI ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, hivyo tarajia kitu kwa BWANA YESU.

4 Kwa imani Habili alimtolea Mungu dhabihu iliyo bora kuliko Kaini; kwa hiyo alishuhudiwa kuwa ana haki; Mungu akazishuhudia sadaka zake, na kwa hiyo, ijapokuwa amekufa, angali akinena.
Waebrania 11 :4

Unapotoa sadaka yako uwe unatarajia kitu kwa Mungu, unaona waliotoa hata kama wamekufa Mungu aliwafufua, wengine wananena sadaka yako inasema za Mungu.

3.USITOE KWA MANUNGUNIKO AU KUJISIFU.

Unapotoa sadaka yako unapaswa kukumbuka usitoe kwa kunungunika au majivuno au kwa huzuni maana Mungu anataka MTU anayetoa kwa moyo mkunjufu.

(2Kor 9 )
————
6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.

7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

(Gal 6 )
————
6 Mwanafunzi na amshirikishe mkufunzi wake katika mema yote.

7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

9 Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.

4. USIWE NA NENO NA MTU.

Moja ya kikwazo mbele za Mungu kuhusu sadaka ni kama hujapatana na uliyekosana naye. Hakikisha umepatana na mtu, maana kuna uhusiano kati ya sadaka na moyo wako hivyo MUNGU ana taka moyo wako. Patana na mtu uliyemkwaza.

(Mat 5 )
————
23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,

24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.

25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.

5.KILA AINA YA SADAKA KUNA BARAKA ZAKE/AHADI ZA MUNGU KUTUBARIKI.
Fungu LA kumi au zaka. Mungu ameahidi kufungua mbingu zako au vyanzo vipya vya mafanikio. Ukipata mapato mapya unatoa aslimia kumi kwa mfano 10% ya 100=10. Ukitoa fedha hapa usitarajie kupewa pesa Bali utapewa vyanzo vipya vya kipatia kipato(Mal 3 :8_11 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.
9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malimbuko…Mungu ameahidi Baraka za malimbuko au uzao Wa kwanza.
(Met 3:
9 Mheshimu Bwana kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.10 Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika divai mpya..
NADHIRI
Nadhiri ni ahadi tunazomwekea MUNGU kuwa akitufanya jambo sisi tutatimiza jambo Fulani kwa moyo wetu Washukrani mbele zake “Akaweka nadhiri, akasema, Ee Bwana wa majeshi, ikiwa wewe utaliangalia teso la mjakazi wako, na kunikumbuka, wala usinisahau mimi mjakazi wako, na kunipa mimi mjakazi wako mtoto mume, ndipo mimi nitakapompa Bwana huyo mtoto siku zote za maisha yake, wala wembe hautamfikilia kichwani kamwe.(“1Samwel 1:11)

SADAKA ZINGINE Mungu anaangalia moyo wako maana haina kiwango lakini haimaanishi utoe kidogo. (2Kor 9 )
6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.

10 Na yeye ampaye mbegu mwenye kupanda, na mkate uwe chakula, atawapa mbegu za kupanda na kuzizidisha, naye atayaongeza mazao ya haki yenu;

11 mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.

12 Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu.

5.USITOE SADAKA YAKO KWENYE MADHABAHU YA MUNGU MWINGINE.

Sadaka ni Ibada usije ukatoa ibada kwenye madhabahu ya sanamu au kwa makuhani baali. Nakumbuka siku moja wa ukoo wangu waliomba nichangie sehemu ya fedha kwa ajili ya kutimiza tambiko. Nilikataa kabisa.Nakumbuka kabla ya kuokoka tulikuwa tunatoa nia ya misa kwa ajili ya wafu, nakuomba waliokufa lakini nilipookoka macho yangu yalifunguliwa. Mpendwa usije ukafanya jambo ambalo litakuunganisha na madhabuhu ya Giza.

(Kuto 20 )

23 Msifanye miungu mingine pamoja nami; miungu ya fedha, wala miungu ya dhahabu, msijifanyie.

24 Utanifanyia madhabahu ya udongo, nawe utatoa dhabihu zako juu yake; sadaka za kuteketezwa, na sadaka za amani, kondoo zako, na ng’ombe zako, kila mahali nitakapotia ukumbusho wa jina langu, hapo ndipo nitakapokujilia na kukubarikia.

“Mtu atakayemchinjia sadaka mungu ye yote, isipokuwa ni yeye Bwana peke yake, na angamizwe kabisa.”
(Kuto 22: 20)

6. TOA SADAKA YAKO KWA TARATIBU ZA BIBLIA.

Biblia natoa taratibu kwa kila aina ya sadaka unatoa hivyo tenda vema utapata kibali na sadaka yako itasema mbele za MUNGU kama tulivyojifunza KATIKA namba moja.

Ukitoa vibaya MUNGU hapokei.(Mwa 4 )
————
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana.2 Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi.
3 Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa Bwana.

4 Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. Bwana akamtakabali Habili na sadaka yake;

5 bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. Kaini akaghadhibika sana, uso wake ukakunjamana.

6 Bwana akamwambia Kaini, Kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana?

7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishnde.

MKUMBUSHE MUNGU KUHUSU AHADI ZAKE / DAI HAKI ZAKO NAWE UTAPEWA.

Mungu mwenyewe katuruhusu tumkumbushe ahadi zake. Mpendwa jipange usiwe na mpengo KATIKA UTOAJI wako.

(Is 43 )
————
25 Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.

26 Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.

Ubarikiwe.
 
Kampeni ya kuwapotosha watu wasitoe sadaka Ili shetani afanikiwe
Dawa kubwa kupita zote ya kumshinda shetani ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo na Kumwamini Mungu kwa dhati kwa kila jambo, nothing more nothing less, hizo zingine ni mbwembwe tu za wala sadaka. Kazi na kushukuru na kuamini ni yako peke yako, haina mshenga wala kuwadi.

Mungu anasoma mwenye bar code yako, hatumi mtu. Mambo mazuri yote yatakupata baada ya kumshukuru na kumuamini Mungu mmoja. Mtu mmoja alikuwa ananilazimisha eti tusali kabla hatujaanza safari kwa gari letu. Nikamwambia kuwa hakuna haja ya kubwabwaja manemo kwakuwa mungu hana haja na mameno yako bali anaangalia na kusikiliza "nia" yako na dhamira yako katika kila jambo.

Mungu kashakupatia uwezo mkubwa na amekwambia utembee kwa miguu hajasema utembee kwa gari, maana gari halitoki kwa Mungu ni la binadamu, hivyo tunachotakiwa tufuate maelekezo ya wanadamu waliolitengeneza gari ili tufike salama safari yetu.

Nikamwambia Mungu hatatusaidia sisi kufika salama kwa gari bali twende tukalifanyie service gari letu, kisha tuendeshe kwa mujibu wa sheria za barabarani na aliyetengeneza gari, tuhakikishe tuna leseni na vitu vyote vinavyotakiwa maana kuwa salama kwa kutumia gari sio mpango wa Mungu.

Kuna wala sadaka wanaomba sana kabla ya safari lakini wanaishia kupata ajali barabarani pia
 
ZIFAHAMU AINA ZA SADAKA NA FAIDA ZAKE

Date: April 21, 2020Author: Peter Ogast4
Sadaka ni sehemu ya utoaji unaoacha pengo Katika Mali zako, yaani baada ya kutoa unaona mahali ulikotoa Mali hiyo pameachwa wazi.Hata hivyo Biblia inasema utoaji Wa kweli ni kujitoa nafsi yako kwanza kwa Mungu kama dhabihu mtakatifu ya kumpemdeza Mungu.
“Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu, ndiyo ibada yenu yenye maana.”
(rom 12: 1)

Mungu anatengemea tutor nafsi, roho na miili yetu kama sehemu ya sadaka kwa Mungu. Itakusaidia nini kama utajitoa kwa ulimwengu na KUFANYA viungo vyako kuwa silaha za dhuluma kwa ulimwengu Bali tujitoe kwa Mungu kuwa sadaka kwa Mungu.(1Kor 6:13-16 )
————
13 Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu atavitowesha vyote viwili, tumbo na vyakula. Lakini mwili si kwa zinaa, bali ni kwa Bwana, naye Bwana ni kwa mwili.

14 Naye Mungu alimfufua Bwana, na tena atatufufua sisi kwa uweza wake.

15 Je! Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Basi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaba? Hasha!

16 Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja.

Mwili wako, nafsi yako na roho yako utoe kwa BWANA kama dhabihu takatifu kwa BWANA. Yafutayo ni mambo saba unayopaswa kujua KUHUSU sadaka yako, kama ifuatavyo;

1. SADAKA INANENA MBELE ZA BWANA
Sadaka yako unaweza kunena vena Mbele za Mungu ikawa UKUMBUSHO Wa Yale uliyomba kwa Mungu, Sadaka haiwezi kunyamaza hata kidogo.

Mfano:1. KORNELIO

1 Palikuwa na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitalia,
Matendo ya Mitume 10 :1

2 mtu mtauwa, mchaji wa Mungu, yeye na nyumba yake yote, naye alikuwa akiwapa watu sadaka nyingi, na kumwomba Mungu daima.
Matendo ya Mitume 10 :2

3 Akaona katika maono waziwazi, kama saa tisa ya mchana, malaika wa Mungu, akimjia na kumwambia, Kornelio!
Matendo ya Mitume 10 :3

4 Akamtazama sana, akaogopa akasema, Kuna nini, Bwana? Akamwambia, Sala zako na sadaka zako zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.
Matendo ya Mitume 10 :4

MFANO:2 DORKASI

(Mat 9 )
————
36 Na mwanafunzi mmoja alikuwako Yafa, jina lake Tabitha, tafsiri yake ni Dorkasi (yaani paa); mwanamke huyu alikuwa amejaa matendo mema na sadaka alizozitoa.

37 Ikawa siku zile akaugua, akafa; hata walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.

38 Na kwa kuwa mji wa Lida ulikuwa karibu na Yafa, nao wanafunzi wamesikia ya kwamba Petro yuko huko, wakatuma watu wawili kwake, kumsihi na kusema, Usikawie kuja kwetu.

39 Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika, wakampeleka juu orofani wajane wote wakasimama karibu naye, wakilia na kumwonyesha zile kanzu na nguo alizozishona Dorkasi wakati ule alipokuwa pamoja nao.

40 Petro akawatoa nje wote, akapiga magoti, akaomba, kisha akaelekea yule maiti, akanena, Tabitha, ondoka. Naye akafumbua macho yake, na alipomwona Petro akajiinua, akaketi.

41 Akampa mkono, akamwinua; hata akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, hali yu hai.

2.TOA SADAKA YAKO KWA IMANI.
Katika utoaji wako iwe fungu LA kumi,limbuko, sadaka ya nadhiri,au changizo lolote. Toa kwa IMANI. Toa kwa matarajio fulani kuwa MUNGU atakusaidia katika jambo Fulani. Hiyo nfiuo tafsiri ya IMANI. IMANI ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, hivyo tarajia kitu kwa BWANA YESU.

4 Kwa imani Habili alimtolea Mungu dhabihu iliyo bora kuliko Kaini; kwa hiyo alishuhudiwa kuwa ana haki; Mungu akazishuhudia sadaka zake, na kwa hiyo, ijapokuwa amekufa, angali akinena.
Waebrania 11 :4

Unapotoa sadaka yako uwe unatarajia kitu kwa Mungu, unaona waliotoa hata kama wamekufa Mungu aliwafufua, wengine wananena sadaka yako inasema za Mungu.

3.USITOE KWA MANUNGUNIKO AU KUJISIFU.

Unapotoa sadaka yako unapaswa kukumbuka usitoe kwa kunungunika au majivuno au kwa huzuni maana Mungu anataka MTU anayetoa kwa moyo mkunjufu.

(2Kor 9 )
————
6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.

7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

(Gal 6 )
————
6 Mwanafunzi na amshirikishe mkufunzi wake katika mema yote.

7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.

9 Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.

4. USIWE NA NENO NA MTU.

Moja ya kikwazo mbele za Mungu kuhusu sadaka ni kama hujapatana na uliyekosana naye. Hakikisha umepatana na mtu, maana kuna uhusiano kati ya sadaka na moyo wako hivyo MUNGU ana taka moyo wako. Patana na mtu uliyemkwaza.

(Mat 5 )
————
23 Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,

24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.

25 Patana na mshitaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani; yule mshitaki asije akakupeleka kwa kadhi, na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani.

5.KILA AINA YA SADAKA KUNA BARAKA ZAKE/AHADI ZA MUNGU KUTUBARIKI.
Fungu LA kumi au zaka. Mungu ameahidi kufungua mbingu zako au vyanzo vipya vya mafanikio. Ukipata mapato mapya unatoa aslimia kumi kwa mfano 10% ya 100=10. Ukitoa fedha hapa usitarajie kupewa pesa Bali utapewa vyanzo vipya vya kipatia kipato(Mal 3 :8_11 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu.
9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam, taifa hili lote.
10 Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Malimbuko…Mungu ameahidi Baraka za malimbuko au uzao Wa kwanza.
(Met 3:
9 Mheshimu Bwana kwa mali yako, Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.10 Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi, Na mashinikizo yako yatafurika divai mpya..
NADHIRI
Nadhiri ni ahadi tunazomwekea MUNGU kuwa akitufanya jambo sisi tutatimiza jambo Fulani kwa moyo wetu Washukrani mbele zake “Akaweka nadhiri, akasema, Ee Bwana wa majeshi, ikiwa wewe utaliangalia teso la mjakazi wako, na kunikumbuka, wala usinisahau mimi mjakazi wako, na kunipa mimi mjakazi wako mtoto mume, ndipo mimi nitakapompa Bwana huyo mtoto siku zote za maisha yake, wala wembe hautamfikilia kichwani kamwe.(“1Samwel 1:11)

SADAKA ZINGINE Mungu anaangalia moyo wako maana haina kiwango lakini haimaanishi utoe kidogo. (2Kor 9 )
6 Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu.7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.
8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

9 kama ilivyoandikwa, Ametapanya, amewapa maskini, Haki yake yakaa milele.

10 Na yeye ampaye mbegu mwenye kupanda, na mkate uwe chakula, atawapa mbegu za kupanda na kuzizidisha, naye atayaongeza mazao ya haki yenu;

11 mkitajirishwa katika vitu vyote mpate kuwa na ukarimu wote, umpatiao Mungu shukrani kwa kazi yetu.

12 Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu.

5.USITOE SADAKA YAKO KWENYE MADHABAHU YA MUNGU MWINGINE.

Sadaka ni Ibada usije ukatoa ibada kwenye madhabahu ya sanamu au kwa makuhani baali. Nakumbuka siku moja wa ukoo wangu waliomba nichangie sehemu ya fedha kwa ajili ya kutimiza tambiko. Nilikataa kabisa.Nakumbuka kabla ya kuokoka tulikuwa tunatoa nia ya misa kwa ajili ya wafu, nakuomba waliokufa lakini nilipookoka macho yangu yalifunguliwa. Mpendwa usije ukafanya jambo ambalo litakuunganisha na madhabuhu ya Giza.

(Kuto 20 )

23 Msifanye miungu mingine pamoja nami; miungu ya fedha, wala miungu ya dhahabu, msijifanyie.

24 Utanifanyia madhabahu ya udongo, nawe utatoa dhabihu zako juu yake; sadaka za kuteketezwa, na sadaka za amani, kondoo zako, na ng’ombe zako, kila mahali nitakapotia ukumbusho wa jina langu, hapo ndipo nitakapokujilia na kukubarikia.

“Mtu atakayemchinjia sadaka mungu ye yote, isipokuwa ni yeye Bwana peke yake, na angamizwe kabisa.”
(Kuto 22: 20)

6. TOA SADAKA YAKO KWA TARATIBU ZA BIBLIA.

Biblia natoa taratibu kwa kila aina ya sadaka unatoa hivyo tenda vema utapata kibali na sadaka yako itasema mbele za MUNGU kama tulivyojifunza KATIKA namba moja.

Ukitoa vibaya MUNGU hapokei.(Mwa 4 )
————
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana.2 Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi.
3 Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa Bwana.

4 Habili naye akaleta wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona za wanyama. Bwana akamtakabali Habili na sadaka yake;

5 bali Kaini hakumtakabali, wala sadaka yake. Kaini akaghadhibika sana, uso wake ukakunjamana.

6 Bwana akamwambia Kaini, Kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana?

7 Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishnde.

MKUMBUSHE MUNGU KUHUSU AHADI ZAKE / DAI HAKI ZAKO NAWE UTAPEWA.

Mungu mwenyewe katuruhusu tumkumbushe ahadi zake. Mpendwa jipange usiwe na mpengo KATIKA UTOAJI wako.

(Is 43 )
————
25 Mimi, naam, mimi, ndimi niyafutaye makosa yako kwa ajili yangu mwenyewe, wala sitazikumbuka dhambi zako.

26 Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.

Ubarikiwe.
Ivyo vifungu vya kutoa mmevimeza kweli
 
Nimekosa pa kunukuu mkuu kwakuwa nukuu zote zilizopo zimeandikwa na wanufaika wa sadaka. Hapa nimetumia uncommon sense, ufunuo na kutazama viumbe wengine. Hebu niambie Mungu na hela vinaendana? atanunulia nini ukimpa fedha, je ana tumbo na mdomo? je, anategemea utakachompa?
Natangaza maslahi:
Mimi ni mkiristo Anglikana kwa kuzaliwa na kukuzwa katika hilo kabla na baada ya kujitambua. Sijawahi kuhama. Kuhusu ni mkiristo hai au mfu sina jibu sahihi. Lakini kwa kuandika haya nitambuliwe niko napata pumzi. Naamini uwepo wa Mungu ma utendaji kazi wake. Shida yangu iko kwenye NAMNA watumishi wanavyotuelekeza kuenenda kikanisa. Sitaongelea dini nyingine zaidi ya hizi zitumiazo Biblia//ukristo.

Historia inayonyesha dini zote ndani ya Afrika zilisogezwa na uwepo wa wageni/wamisionari+warabu. Kwa waaminio historia hii inatosha kusema hata huu ni mwendelezo wa utumwa.

Pia, historia ya ukristo ilianzia Roma/dola kuu ya Rumi na yeyote aliyeukataa utawala wa Rumi adhabu ilijulikana ni kukatwa kichwa. Watawala wa Rumi walitaka dini yao isambar dunia nzima japokuwa ilipata upinzani kila uchao. Baada ya maendeleo ya upinzani zikaanza kuibuka dhehebu zilizoanzishwa na 'watu binafsi' wakazipachika majina waliyoona yanafaa hadi leo yapo yanaendelea. Nitasemea upande wangu na ya mtu wangu wa karibu 'Anglikana' na 'Lutheran'; Anglican ina viungo vya English lakini origin yake ni 'Protestant' ikimaanisha 'mpingaji' mwanzilishi alikuwa muingereza.

Martin Luther King>>lutheran (huku sizami ndani) fuatilia mwenyewe historia iko wazi.

Badaye zilifuata Orthodox, nk.nk.nk

Nirudi kwenye mada kuu

Mfano uko Tanzania, nenda kanisani vijijini huko toa sadaka kwa sarafu ya Uganda. Unaweza kuikuta imetupwa kwenye makabati hata miaka 10 ijayo.

Mleta mada anaweza kubezwa lakini kuna mengi yanafikirisha:

-kwanini viongozi wa dini wanasisitiza tupeleke mali za thamani kama: fedha, wanyama, mazao nk na si kile tunachojaliwa na siku hizi wamebuni mbinu hadi pesa za mtandao wanakusanya!!

-endapo pesa tu, fikiria kwanini inapokelewa local currency tu (sarafu ya nchi husuka). Ili itumike na nani kama kweli zinamwendea muumba!!

-Biblia imetahadharis
ha tujihadhari na manabii wa uongo maana wataweza kufanya hata miujiza ili tu wakubalike kwa hadaa zao kwamba wanatenda kwa jina la Mungu; je kwa nyakati zetu, hatupaswi kutia shaka kwa kuanza na hawa?

-kama wote wanatangaza habari njema ya kumjua Mungu; kwanini kumechipuka vizalia vingi vya ukirsto. Kulikuwa na uhutaji gani wa kuzaliwa 'vijidhehebu' vingi vingi na kuziponda zile dini kuu mama/wanapingana wao kwa wao na kugombania waamini badala ya kulenga maudhui ya uungu ili kumkomboa mwanadamu?

-iweje kwenye matoleo ndipo vipasa sauti vinaongezwa sauti na maneno matamu ya kushawishi ili muamini aongeze dau?

-makanisa mengi ya miujiza utayakuta kwenye miji mikubwa tu (naamini ni kulenga wenye vipato vikubwa) mashinani ni wachache na kuna baadhi hakuna kabisa matawi ya haya makanisa mapya?

-makanisa mengi tuliyokuzwa nayo kiroho yana mchakato hadi kuufikia uongozi na nafasi fulani na aghalabu sio jambo jepesi kupanda daraja pasna vigezo maana kuna mchakato unaoratibiwa na sheria za dhebu husika. Lakini wengi wa kisasa wanamtukiza mwanzilishi na kujipachika vyeo hadi Uaskofu bila kujua historia yake ameanzia wapi na elimu yake juu ya huo utume. Kadri tunavyosonga mbele uaskofu umepoteza hadhi, wao huenda mbali zaidi na kujiita mitume/nabii!!

Nina mengi ya kuwaza ngoja niwaachie wengine.
 
Niambie wametoa shilingi ngapi. Walikuwa wanatoa wanyama na mazao na watu wote wanakula sadaka hiyo, hata wazee walikuwa wanatoa sadaka mazao na wanyama tu na kuwashirikisha mababu zao waliotangulia mbele za haki, ndio maana walikuwa wakijibiwa maombi yao haraka. Sio kutoa fedha na kuziacha madhabahuni kwenye vihenge na kuondoka zenu majumbani mkiamini kuwa zinaenda kwa mungu kumbe zinakwenda kuliwa na watu na kusomesha watoto wao. Huu ni ujinga mkubwa sana,
Hata mimi Leo nimeamini wewe ndiye mtumishi Wa Mungu ambaye unaisema kweli wengine ni matapeli na wezi Wa kubwa kupitia mgongo Wa dini
 
Kaka watu wanaaminishwa kuwa sadaka zinaliwa na mungu, ndiyo maana hawahoji ziko ngapi na zimewekwa wapi, hakuna audit report yoyote inafanywa, wahuni wanakula bata na famila zao, niwajanja kwelikweli huwa wanatusomea vile vifungu vinavyotutenganisha na familia na wazazi wetu maana wanajua kama tutawapa sadaka wazazi na famila zetu sadaka kwao itapungua. Wao wanakula sadaka kubwa kuliko wazazi wetu.
 
Natangaza maslahi:
Mimi ni mkiristo Anglikana kwa kuzaliwa na kukuzwa katika hilo kabla na baada ya kujitambua. Sijawahi kuhama. Kuhusu ni mkiristo hai au mfu sina jibu sahihi. Lakini kwa kuandika haya nitambuliwe niko napata pumzi.

Naamini uwepo wa Mungu ma utendaji kazi wake. Shida yangu iko kwenye NAMNA watumishi wanavyotuelekeza kuenenda kikanisa. Sitaongelea dini nyingine zaidi ya hizi zitumiazo Biblia//ukristo.

Historia inayonyesha dini zote ndani ya Afrika zilisogezwa na uwepo wa wageni/wamisionari+warabu. Kwa waaminio historia hii inatosha kusema hata huu ni mwendelezo wa utumwa.

Pia, historia ya ukristo ilianzia Roma/dola kuu ya Rumi na yeyote aliyeukataa utawala wa Rumi adhabu ilijulikana ni kukatwa kichwa. Watawala wa Rumi walitaka dini yao isambar dunia nzima japokuwa ilipata upinzani kila uchao.

Baada ya maendeleo ya upinzani zikaanza kuibuka dhehebu zilizoanzishwa na 'watu binafsi' wakazipachika majina waliyoona yanafaa hadi leo yapo yanaendelea. Nitasemea upande wangu na ya mtu wangu wa karibu 'Anglikana' na 'Lutheran'; Anglican ina viungo vya English lakini origin yake ni 'Protestant' ikimaanisha 'mpingaji' mwanzilishi alikuwa muingereza.

Martin Luther King>>lutheran (huku sizami ndani) fuatilia mwenyewe historia iko wazi.

Badaye zilifuata Orthodox, nk.nk.nk

Nirudi kwenye mada kuu

Mfano uko Tanzania, nenda kanisani vijijini huko toa sadaka kwa sarafu ya Uganda. Unaweza kuikuta imetupwa kwenye makabati hata miaka 10 ijayo.

Mleta mada anaweza kubezwa lakini kuna mengi yanafikirisha:

-kwanini viongozi wa dini wanasisitiza tupeleke mali za thamani kama: fedha, wanyama, mazao nk na si kile tunachojaliwa na siku hizi wamebuni mbinu hadi pesa za mtandao wanakusanya!!

-endapo pesa tu, fikiria kwanini inapokelewa local currency tu (sarafu ya nchi husuka). Ili itumike na nani kama kweli zinamwendea muumba!!

-Biblia imetahadharis
ha tujihadhari na manabii wa uongo maana wataweza kufanya hata miujiza ili tu wakubalike kwa hadaa zao kwamba wanatenda kwa jina la Mungu; je kwa nyakati zetu, hatupaswi kutia shaka kwa kuanza na hawa?

-kama wote wanatangaza habari njema ya kumjua Mungu; kwanini kumechipuka vizalia vingi vya ukirsto. Kulikuwa na uhutaji gani wa kuzaliwa 'vijidhehebu' vingi vingi na kuziponda zile dini kuu mama/wanapingana wao kwa wao na kugombania waamini badala ya kulenga maudhui ya uungu ili kumkomboa mwanadamu?

-iweje kwenye matoleo ndipo vipasa sauti vinaongezwa sauti na maneno matamu ya kushawishi ili muamini aongeze dau?

-makanisa mengi ya miujiza utayakuta kwenye miji mikubwa tu (naamini ni kulenga wenye vipato vikubwa) mashinani ni wachache na kuna baadhi hakuna kabisa matawi ya haya makanisa mapya?

-makanisa mengi tuliyokuzwa nayo kiroho yana mchakato hadi kuufikia uongozi na nafasi fulani na aghalabu sio jambo jepesi kupanda daraja pasna vigezo maana kuna mchakato unaoratibiwa na sheria za dhebu husika. Lakini wengi wa kisasa wanamtukiza mwanzilishi na kujipachika vyeo hadi Uaskofu bila kujua historia yake ameanzia wapi na elimu yake juu ya huo utume. Kadri tunavyosonga mbele uaskofu umepoteza hadhi, wao huenda mbali zaidi na kujiita mitume/nabii!!

Nina mengi ya kuwaza ngoja niwaachie wengine.
Hata Anglican bado ni upingaji,lilianzishwa baada ya mfalme wa Uingereza baada ya kugomewa na Papa kumuoa kimada wake.
Uwepo wa makanisa chipukizi haya christian science church ni utimilishaji tu wa unabii na hayampotoshi ajuaye maandiko, kwa maana yalishatabiriwa. Kuna Wakristo na makristo.

KILA mtu utegemea na alivyoitwa na kujazwa kipawa cha utumishi na sio lazima kuenda shule ya Biblia japo kwa hekima ni busara zaidi kupiga msasa.
Pana wanaomuhubiri MUNGU wa kweli na kuna wajasiliadini, Kuna wanaomuhubiri Yesu Kristo wa Nazareth asiyechanganywa na vitu vya upako na kuna wanaomuhubiri baalyesu yesu wa kuzimu asiyeweza bila mafuta maji na chumvi.

Hapa ni suala la maarifa tu uwe nayo usitoke nje ya mstari au usiwe nayo ukatajirishe wajasiliadini. Kila penye original feki haikosekani.
 
Back
Top Bottom