Usitumie hela nyingi kupata Ngono

Punguza ushauri watu tayari wana mipango yao by Joti
Ushauri ni Muhimu pia, yani ni kama elimu vile.

Unapofundishwa ni uamuzi wako kuelewa au kuiachia Dunia ikufundishe.
 
Wewe unayenunua Malaya na wewe Malaya vile vile, Baki kwenye njia kuu.
Kabisa Mkuu.

Kama una mpenzi ni bora kuwa muaminifu, maana malaya hakuna anachojali kwako zaidi ya pesa zako tu.
 
Mkuu unapangia watu matumizi ya pesa zao?
Samahani Mkuu, ila AKILI ni kitu muhimu sana.

Nimeandika kwa herufi kubwa "AKILI".


SIKU ZOTE OMBA MUUMBA ASIKUNYIME AKILI, MAANA NI KITU BORA NA KINACHO TUTOFAUTISHA NA WANYAMA.
 
Tafuteni hela wakuu elf 60 ni posho ya kikao kimoja cha lisaa kimoja na nusu. Tena huchangii hata kwa kugonga meza
Kuwa na pesa haifanyi uishi maisha yasiofaa.


Badilika, maana kuna watu wanapesa na wanajiheshimu.
 
Huyu lazima utakuja kumrudia tuu, taka usitake
 
Huyu lazima utakuja kumrudia tuu, taka usitake
AAah hamna siwez mkuu..Nilimuogopa sana maana sio kwa nguvu ile ya ushawishi bila kutumia nguvu kunifanya nitaman kwenda extra mile in terms of decision.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Samahani Mkuu, ila AKILI ni kitu muhimu sana.

Nimeandika kwa herufi kubwa "AKILI".


SIKU ZOTE OMBA MUUMBA ASIKUNYIME AKILI, MAANA NI KITU BORA NA KINACHO TUTOFAUTISHA NA WANYAMA.
Ndugu yangu Kuna watu Wana akili lakini hawatafautiani na wanyama, akili lazima itumike ndio itakutofautisha na mnyama vyenginevyo utakuwa na akili na utafanana na mnyama
 
Wakiwapa wazazi hela, Watapata baraka za kupata utelezi bure kabisa? Au nini maana ya thread.
 
Moja ya matumizi ya fedha ni kujiburudisha Mwili.

Nikirejea title ya Uzi haisadiki na content.

Wengine tuna mpenzi mmoja, na hatununui malaya, ingawa tunatumia hela nyingi kumaintain mahusiano, ambayo mwisho wa siku return yake ni Ngono.

Huwezi kula bure bure bila kugharamika.

Then, 100k au 60k mpk 200k ni hela za kawaida mnoo sio za kumshutum mtu kwamba anapoteza pesa.
 
Kuna msemo unasema "Unakula kutokana na urefu wa kamba yako"
Huyo anayehonga laki mbili ndio uwezo wake huo, huyo anayehonga elfu ishirini ndio uwezo wake huo, malaya hadi wa 30,00 wapo, so ni uwezo wako tu.
Sasa tupangiane matumizi ya pesa zetu ili iweje, na aliyekwambia sisi tunaohonga hivyo hatusaidii wazazi au masikini ni nani, au umehisi tu?
Cheza kwa level zako bro, acha kuumiza kichwa kwa life style za watu

Halafu usiseme malaya awe maskini, kwakuwa na wewe naamini una ndugu za kike. Tafsiri ya malaya: Ni mwanamke ambaye ana uhusiano na mwanaume zaidi ya mmoja, je wew ndugu zako wa kike wana mwanaumee mmoja tu au unaongea tu kufurahisha kijiwe?
 
Nimependa hii mwishoni
"MALAYA WANAPASWA KUISHI KWENYE UMASIKINI USIWAPE PESA ZAKO KUBADILISHA MAISHA YAO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…