DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Watu wengi hujikuta wanawaacha wachumba ambao wanawapenda na ambao wanaendana kwa kigezo cha dini.
Dini haina uhusiano wowote na kumfanya MTU kuwa na hofu ya MUNGU, utu hekima wala maarifa.
Jambo kubwa na la msingi unabidi kuangalia MTU Kama mnaendana, kifikra, kimtazamo n.k.
Watu wengi wapo depressed kwa kuikosa ndoa maana wanatumia kigezo cha dini.
Dini na ndoa kipi kilianza au dini na binadamu kipi kilianza?
Ukiwa na FAITH unakuwa tayari unaamini katika yaliyopo na yajayo na Faith ndo huwa tunaitumia ktk Ku-manifest mambo yetu ili yaende na sio belief ambayo hupatikana katika dini.
Ila ukiwa na beliefs akili yako inakuwa imeshikiliwa na beliefs na kukupumbaza kushindwa kuwa open minded.
Unachobidi kuangalia ni kuona huyo MTU uliyenaye anampenda Mungu na sio kuangalia Kama anapenda dini.
Kumbadilisha MTU dini ni kuingilia Uhuru wake na hatobadilika ila atakufatisha tu kwa nje maana beliefs ndo huwa imeishikilia Akili na kumfanya MTU kuamini katika dini na sio rahisi MTU kuiacha beliefs yake.
Kwa kuhitimisha, focus kutafuta MTU na sio dini.