Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

Yaani mi sijawahi kabisa kufikilia kuhusu dini katika hayo mambo...
 
Huyo ambae hana dini hajajilea mwenyewe, wazee wetu huko nyuma walikubaliana na mafundisho ya dini na kueneza athari kizazi na kizazi
Na ungana na wewe moja kwa moja mfano mzuri ni kula kwa mkono wa kulia hii iko kidini ndio imeleta utaratibu huu hata wasio na dini waliishi katika utaratibu huwo hata wanapo kuwa wa kubwa na kuamua dini hakuna, mungu hakuna lakini utaratibu wa malezi wa kidini bado uko ndani yao.
huwezi wakuta wameenda chooni waka stanji kwa mkono wa kulia.
 
Na huu ndo uhalisia.
 
Wewe ni mtoto mdogo Sana bado hujaijuwa dunia.

Iko hivi, kama unampenda mwanamke wa Imani nyingine option ni mbili tu, ya Kwanza mwanamke abadili dini au wewe mwanaume ubadili dini kufuata dini ya mwanamke.

Atakayekwambia kinyume na hili anakudanganya, kama unadate na mtu nje ya Imani yako na una plan za kuishi naye achana naye na hayo mahusiano hakuna future nzuri.

Tunaandika haya ili kuweka kumbukumbu Sawa atakayedhani yeye anajuwa Sana na ni wa kisasa basi avae huo mkenge lakini maandishi yapo hapa yatamsuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…