Mwanamke ana akili za kitoto, hana shukrani, kuhongwa na kuhudumiwa huwa anaona kama haki yake ya msingi.
Ulifanya vizuri sana kutomwambia km ungemjengea nyumba, hapo angebadilika na kuwa malaika, ila ungekamilisha nyumba na kumpa. Angekuwa shetani mkuu, ndiyo ingekuwa mwisho wa penzi lenu.
Siku zote mwanaume anayemhudumia mwanamke kwa 99%, kumuonea huruma, kumjali na kumpenda mwanamke, huonekana ni mafala, wajinga na wapuuz maana mwanamke huwa hastahili vyote. Fanya uchunguzi, wanaume wanaoteseka kwenye mapenzi na kwenye ndoa ni wale wenye upendo, na kuwaonea huruma