Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
🤣🤣😂Yaan maisha magumu
Hapo ndio umenena kwa moyo mmoja kabisa yajazayo moyo wa mwanamke.
Wanawake wengi siku hizi wanafuata wanaume kwasababu hiyo ya kupata unafuu wa maisha. MAISHA MAGUMU🤣😆😎. Maisha YAKILAINIKA anakutifua mnaachana anaendelea na yake.
Kila mtu na apambane na maisha yake kwakweli.