Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Good Point kaka, Maana Hivi Viumbe havina shukrani, kiukweli kutoka kwa Mungu nafsi yangu Imekua chafu kwa Hawa Viumbe,
ukijaa nakuchapa na unapita kule Sina time na ww, na kama kukusaidia labda nikununulie Chips+ Kuku( Chakula tu ambayo utakua ni mlo wa siku, mwendo wa kula uliwe.imeishaaa hiyoooo
Mimi kanuni yangu ni kwamba, mwanamke akiniletea bill zake nilipe huwa napiga hesabu iyo hela anayoiomba naweza nikafanyia nini cha kuninufaisha mimi mwenyewe binafsi mfano kaniomba 50K na kweli kwenye hazina yangu ninayo 50K ya ziada basi nitaangalia iyo hela naweza kuifanyia nini. Napiga uchunguzi wa fasta nyumbani kwangu nini kimepungua labda nikagundua sofa hazipigwa maji kitambo iyo 50k badala ya kumtumia demu napeleka sofa dry cleaner zing'alishwe sebure yangu ipendeze
 
Tuendelee tu kupata burudani na utunzi JF
Siko hapa kuonyeshana umwamba au ujuaji, kama umeona nilichoandika, ni Utunzi au niongo okey, sawa wewe uko sahihi. umeshinda mkuu.
Ila kwa wale ambayo watatumia kama Funzo naliweafunze ila Mimi, Binafsi niliandika kwa Nia ya Kujifunza kwa wengine wasipite njia niliopita Mimi.
 
Back
Top Bottom