Usitumie nguvu nyingi kumuaminisha mtu kuwa unampenda

Uko sahihi sana, Broo Hawa Viumbe hawaeweki na akili zao wanazijua Wenyewe.
 
U
Uko sahihi, Sana maana Hivi Viumbe sio Poa, tuishi nacho kwa Akili na Tucheze nao kwa Akili Nyingi
 
Kwakweli mwanamke akikosa akili zinazoumia ni sehemu za siri
 
Lengo ilikua kumuoa, ila nikitaka kuandaa baadhi ya mambo kwanza ila ndugu hata wewe kama ni Mwanaume hata siku Moja usije Fanya Ujinga nilioufanya mm
Mkuu kwani yukoje huyo mwanamke mpaka ukapagawa hivyo, ana mak* makubwa ya kufunguka kama compass? Ana nini hasa mkuu.

Unavyoelezea unafanya niwaze kidogojuu ya saikolojia yako. Ulibahatika kulelewa na mama mzazi?
 
Raha ni kwamba malipo ni hapa hapa dunia......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…