Usitupe ndizi zilizoiva sana pika hivi

Aaliyyah

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
19,041
Reaction score
46,239
Natumaini wazima
Kuna wakat tunakuwa na ndiz zimeiva sana kias umeamua huwez kuila pika hivi Kwa kutumia ndizi
Mahitaji
1)Ndizi za kuiva mbili 2) nganovijiko vya chakula vitatu 3)mayai mawili 4)maziwa ukipenda mm nimetumia maji vijiko vinne

JINSI YA KUANDAA
1)Toa ndiz maganda ponda kidogo Kisha vunja mayai weka katika bakuli ongezea na maji au maziwa uliyoandaa

2)weka mchanganyiko wako kwenye Brenda saga Hadi ulainike (Sina hand mixer wewe kama unayo tumia au kama hauna unaweza ponda Kwa kutumia mchapio au mwiko au hata kijiko ukipenda )

3)Kisha mimina kwenye bakuli Kisha ongezea unga wa ngano uloandaa Kisha endelea kukoroga Hadi uchanganyike vizuri hakikisha sio mwepesi sana Wala mzito sana weka iriki kwaajili ya harufu nzuri kma ukipenda

4)bandika pan jikoni ikipato moto paka mafuta kidogo Ili isigande kama unatumia pan ambayo ni non-stick haijahaja ya kupaka mafuta anza kuchoma pn cake zako Kila upande kma tunavyopika chapat za maji

5)hapo zitakuwa tayari unaweza kunywa na chai,uji na hata juis

NB.usiwek sukari sabbu ndiz Zina sukar tayari
Unaweza weka chumvi kma utahitaji taste hiyo
Usiweke mafuta mengi wakat wa kuchoma hazihitaji mafuta mengi
 
Asante wizo hii naijaribu weekend nampikia mwana wa Israel mmoja hivi, hapo na kuku choma pembeni na juice ya tende na maziwa 😍😍😍
Huyo mwana wa Israel Sasa 😂😂😂
 
Ni mtata balaa, ananisema mimi mvivu sipendi kupika 🤣🤣🤣🤣
Sasa nataka nimuonyeshe km najua kupika hata yy akinikalia vibaya nampika
🤣🤣🤣Kumradhi utatuulia mtu
 
Mashaallah nzuri sana
 
Asante,ndizi yoyote,(bukoba ,malindietc) inatumika? Ntaijaribu hii kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…