Usitupe ndizi zilizoiva sana pika hivi

Usitupe ndizi zilizoiva sana pika hivi

Asante wizo hii naijaribu weekend nampikia mwana wa Israel mmoja hivi, hapo na kuku choma pembeni na juice ya tende na maziwa 😍😍😍
Huyo mwana wa Israel asijeshindwa kuvuka bahati ya Shamu maana atakuwa ameshiba hicho kimbama na kuku😁
 
Mbona rahisi sana kupika macharari jamani,?acha kumtesa msesalonike wa watu bwana😁
Macharari ya wapi tena?? Dada usijifanye hujui ninachosema hapa?? Mjukuu wa malkia Elizabeth na macharari wapi na wapi?? 😂😂😂😂
 
Natumaini wazima
Kuna wakat tunakuwa na ndiz zimeiva sana kias umeamua huwez kuila pika hivi Kwa kutumia ndizi
Mahitaji
1)Ndizi za kuiva mbili 2) nganovijiko vya chakula vitatu 3)mayai mawili 4)maziwa ukipenda mm nimetumia maji vijiko vinne

JINSI YA KUANDAA
1)Toa ndiz maganda ponda kidogo Kisha vunja mayai weka katika bakuli ongezea na maji au maziwa uliyoandaa
View attachment 2951717
2)weka mchanganyiko wako kwenye Brenda saga Hadi ulainike (Sina hand mixer wewe kama unayo tumia au kama hauna unaweza ponda Kwa kutumia mchapio au mwiko au hata kijiko ukipenda )

3)Kisha mimina kwenye bakuli Kisha ongezea unga wa ngano uloandaaView attachment 2951721 Kisha endelea kukoroga Hadi uchanganyike vizuri hakikisha sio mwepesi sana Wala mzito sana weka iriki kwaajili ya harufu nzuri kma ukipenda
View attachment 2951722
4)bandika pan jikoni ikipato moto paka mafuta kidogo Ili isigande kama unatumia pan ambayo ni non-stick haijahaja ya kupaka mafuta anza kuchoma pn cake zako Kila upande kma tunavyopika chapat za maji

5)hapo zitakuwa tayari unaweza kunywa na chai,uji na hata juis

NB.usiwek sukari sabbu ndiz Zina sukar tayari
Unaweza weka chumvi kma utahitaji taste hiyo
Usiweke mafuta mengi wakat wa kuchoma hazihitaji mafuta mengiView attachment 2951724
mchumba pitia hapa chap
 
Pia ndizi zenye vile vidoti doti vyeusi ndio zina faa zaidi kula hata kwa watu wa naoingia zoezi unaweza kula ile kabla na baada ya zoezi as pre workout..

Wengi wakiona yale madoti doti meusi hufikiri ndizi imeoza au kuharibika.. si lweli
 
Pia ndizi zenye vile vidoti doti vyeusi ndio zina faa zaidi kula hata kwa watu wa naoingia zoezi unaweza kula ile kabla na baada ya zoezi as pre workout..

Wengi wakiona yale madoti doti meusi hufikiri ndizi imeoza au kuharibika.. si lweli
Mimi nazipenda sana ndizi zilizoiva sana
 
Ni mtata balaa, ananisema mimi mvivu sipendi kupika 🤣🤣🤣🤣
Sasa nataka nimuonyeshe km najua kupika hata yy akinikalia vibaya nampika
Hakikisha katikati inaiva vizuri, haitaki moto mkali vinginevyo humo kati utakutana na harufu ya yai mbichi
 
Back
Top Bottom