Usitupe ndizi zilizoiva sana pika hivi

Asante wizo hii naijaribu weekend nampikia mwana wa Israel mmoja hivi, hapo na kuku choma pembeni na juice ya tende na maziwa 😍😍😍
Huyo mwana wa Israel asijeshindwa kuvuka bahati ya Shamu maana atakuwa ameshiba hicho kimbama na kuku😁
 
Huyo mwana wa Israel asijeshindwa kuvuka bahati ya Shamu maana atakuwa ameshiba hicho kimbama na kuku😁
Halafu mjukuu wa malkia Elizabeth sijui km tutaelewana πŸ˜‚
 
Mbona rahisi sana kupika macharari jamani,?acha kumtesa msesalonike wa watu bwana😁
Macharari ya wapi tena?? Dada usijifanye hujui ninachosema hapa?? Mjukuu wa malkia Elizabeth na macharari wapi na wapi?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mchumba pitia hapa chap
 
Pia ndizi zenye vile vidoti doti vyeusi ndio zina faa zaidi kula hata kwa watu wa naoingia zoezi unaweza kula ile kabla na baada ya zoezi as pre workout..

Wengi wakiona yale madoti doti meusi hufikiri ndizi imeoza au kuharibika.. si lweli
 
Mimi nazipenda sana ndizi zilizoiva sana
 
Ni mtata balaa, ananisema mimi mvivu sipendi kupika 🀣🀣🀣🀣
Sasa nataka nimuonyeshe km najua kupika hata yy akinikalia vibaya nampika
Hakikisha katikati inaiva vizuri, haitaki moto mkali vinginevyo humo kati utakutana na harufu ya yai mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…