Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

Usiudharau Mwanzo wako mdogo ikiwa ndo unaanza MAISHA ya utafutaji kama kijana.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step.

Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo meza vizuri kwakuwa hauwezi kujua kesho utaambiwa ukafute meza ya nani labda ya Rais , hauwezi kujua .

Mwanzo Mdogo au hatua zako unazopiga usizichukulie kawaida kila hatua inahesabika katika Mzunguko wa MAISHA yako Every step Counts in life expect life its self.

Hatua za mwanzo huwa ni kwa ajili ya kukuza Career , kutengeneza network , connection, na kujitambulisha sokoni.

Kwahiyo katika humble beginning Pesa inakuwa haipo.

Ila katikati na Mwishoni ndo kuna PESA.

So don't underrate ur baby steps.

FB_IMG_17444390709489365.jpg
 
Kaka kuna umri ukifika lazima ulenge the big fish 🐟
Yes ni mchakato Ila umri haukupi big fish Ila umri wa mchakato wako.

Kila eneo lina mtawala wake iwe kidini, kijamii , kisanaa na kibiashara .

Hivyo hauwezi kuanza na namba moja lazima utaanzia mbili tatu na kushuka chini .

Mfano Bakhressa ni Giant wa boti za Zanzibar hivyo ukianzisha za kwako either ukubali kuanza na mbili na kushuka chini .

That is way humble beginning sio tu Ina apply kimaisha Ila hata kibiashara , kisiasa , kijamii n.k

It takes time kuwa big fish ile kisawa sawa
 
Hahaha simba huwa anatumia mda mrefu kuwinda swala mkubwa ,kuliko kupoteza energy yake kuwinda digidigi ambae hashibi😄
 
Sawa kiongozi,
Wasisahau pia maisha ni Safari Siyo mashindano ya mbio kufika kabla ya mwenzio haimanishi kwamba wewe utaishia hapo unaweza ukaenda mbali ukampita hata uliyedhani kakutangulia
 
Back
Top Bottom