DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
KaribuAsantee kwa ukumbusho.
Swadaktayaamen.do calculated risk
Yes ni mchakato Ila umri haukupi big fish Ila umri wa mchakato wako.Kaka kuna umri ukifika lazima ulenge the big fish 🐟
Hahaha simba huwa anatumia mda mrefu kuwinda swala mkubwa ,kuliko kupoteza energy yake kuwinda digidigi ambae hashibi😄Yes ni mchakato Ila umri haukupi big fish Ila umri wa mchakato wako.
Kila eneo lina mtawala wake iwe kidini, kijamii , kisanaa na kibiashara .
Hivyo hauwezi kuanza na namba moja lazima utaanzia mbili tatu na kushuka chini .
Mfano Bakhressa ni Giant wa boti za Zanzibar hivyo ukianzisha za kwako either ukubali kuanza na mbili na kushuka chini .
That is way humble beginning sio tu Ina apply kimaisha Ila hata kibiashara , kisiasa , kijamii n.k
It takes time kuwa big fish ile kisawa sawa
AaahHahaha simba huwa anatumia mda mrefu kuwinda swala mkubwa ,kuliko kupoteza energy yake kuwinda digidigi ambae hashibi😄