Usiue huyu mdudu Kwa mikono yako

Juzi sokoni nachagua maembe mara kitu kikaningata mithili ya siafu mgongoni dah nikavumilia kidogo tena nikangatwa mfululizo aisee nilitoka nduki hadi ofisini bahati nzuri nikaribu na soko fasta nikavua nguo za juu ghafla nika mwona yani kwa hasira nilimsigina na kidole gumba akabaki unga bahati nzuri hakuna kilichotokea ila maumivu yake usiombe aisee ni kama nyigu
 
Tumezoea kumuita Nairobi fly 🙃🙃
 
Hahaha nyigu hana shoo mbovu.
 
Walipewa hilo jina kulingana na kufanana rangi na bendera ya kenya, lkn jina lake ni kama lilivyoandikwa na wadau hapo.

Kwa dar ni nadra sana kuwaona lkn wanapenda maeneo yenye uoto wa asili zaidi.
 
Baadhi yetu tuna Immunity strong, wadudu hao tumeishi nao na tumetamba nao
 
Kenya kuna mwaka walitanda Nairobi nzima kama siafu vile hawajakaa vizuri wakaja Nzige Kenya sijui walimfanya nini muumba mwaka ule
 
Kipindi niko bodini shule za huko
upareni walikuwa wengi sana ila cha ajabu mimi walikuwa waknitembelea mwilini hata sibabuki, ila wenzangu walikuwa watia huruma .
 
sio nairob fly ni narrow bee fly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…