Usiumize watu wenye mioyo halisi ya upendo

Usiumize watu wenye mioyo halisi ya upendo

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
USIUMIZE WATU WENYE MIOYO HALISI YA UPENDO

: Unapowaumiza watu wenye mioyo halisi na ya upendo wa dhati
Kwanza hautagundua matokeo yake mapema kwa yale maumivu unayo watia🥵🧐🥺

: Hawatanyanyua sauti zao juu kukupazia,Bali machozi na huzuni vitazuka ndani yao🤮🤫
Wala hawazusha kesi,wala kuleta mapicha picha kwako🤨

:Badala yake ni watu watakao yapokea maumivu yao ndani ya mioyo yao taratibu,huku wakiendelea kukuonyeaha uwepo wao tu🧐🤗

: Lakini tambua kabisa dhahiri ndani yao kua,kuna kitu tayari kimeshahama,na kubadilika🤥🤥

: Taratibu wataanza kujitenga nawewe,sio kwa vurugu wala Bali ni kwa mioyo yao kutafuta utulivu na uponyaji wa nyufa zilizotokea ambazo wewe mkosaji,hujui kama umesababisha🙄😪🤐🤐

: Wataanza kuondoka kabisa bila maigizo ya kuagana agana,wanaita break up😪😪🤐
Katika hilo wakiwa wanaondoka hawageukagi nyuma hawa 😇

: Hawa ndio watu waliokuthamini sana,hawa ndio watu waliokupenda vibaya mno😪😯
Walikuamini sana bila maelezo😪🤐😯
Ila kibaya ni kwamba hawa ni watu ambao huwezi,kuziba mapengo yao kwa namna yoyote ile,zaidi sana utakubali kupoteza na kuanza kujifariji kwa kutafuta wanawake wengine wanaofanana nao,kwa maumbo,au sura zao ili kuidanganya akili kwamba bado wapo
lakini wapi hio haitasaidia🤠😇
kama ni mwanamke,kila mwanaume utajitahidi kumtafuta huyo mpendwa na ile thamani yake ndani yao,lakini wapi kibaya
zaidi utakua unatesa nyeti tu...😪😪🤐🤐😮
Maana hawa watu hua ni adimu
Ni ngekewa.🙄🤐🤐🤐
Kikubwa zaidi na kibaya hawa watu watakua wamejengwa
Kwa namna ya hatari sana
Wengine hugeuka matapeli wa mapenzi
Wengine hugeuka na kua makatili sana
Wengine hugeuka na kua watu wakimya sana😇🤗🤗
epuka kumtengeneza mtu wa namna hio kwenye jamii.

KUMBUKA kumpoteza mtu mwenye moyo mzuri,na mwema wenye upendo ni kupoteza kitu cha thamani sana
Ambacho utakitafta kwa gharama nyingi...
Story hiyo anayo chris brown kwa rihanna.
Story hiyo anayo jux kwa vannessa
Nasisi wengine tusio na umaarufu wowote..🤠🤠😇😇

HITIMISHO

Kitunze na ukithamini kizuri chako ulichonacho,
Kwa maana kikienda kimeenda na ukiona kimerudi
Labda kukumalizia au ni bahati yako tu.
Lakini usichezee cha thamani.
 
Unaweza ukawa unaandika kitu cha maana ila msomaji wa maana akishaona viemoji kila baada ya sentensi moja analeft
 
Maisha ya Tamthilia haya...Maisha ni vita kuumizwa na kuumiza ndio Maisha yenyewe hamna namna duniani patakuwa na Fairness.
Pambana Mzee
 
kwamba natumia fuvu kama mkoba wa meno?
Basi sawa...
😂😂😂😂😂Sina mana iyo,ila hua muktahasari WA historia yangu naandika mwenyewe simpi mtu nafasi akaniandikia mana atanichafua🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom