Kuna mwanafalsafa aliwahi sema "hakuna hatari iliyokuwa duniani kama mamlaka/madaraka kuangukia mikononi mwa watu wenye akili mdogo"Magufuli siku nyingine anasema uraisi hutoka kwa Mungu halafu siku nyingine anasema wazee hawawezi kuwa rais, Sasa sijui anaijua mipango ya Mungu juu ya mtu gani na wa umri gani wa kumpa uraisi?
Wewe ulichukua hatua gani?Nyie ndio mlikuwa mkihubiri humu na kauli mbiu yenu ya mitano tena tukawaambia ukweli kuhusu bwana yule mkatupuuza ,wacha tule joto ya Jiwe kwa matakwa ya mungu wa CCM.
Magufuli siku nyingine anasema uraisi hutoka kwa Mungu halafu siku nyingine anasema wazee hawawezi kuwa rais, Sasa sijui anaijua mipango ya Mungu juu ya mtu gani na wa umri gani wa kumpa uraisi?
Wewe ulichukua hatua gani?
Usitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kila wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno moja tu nampandisha yeyote nimtakae na kumshusha yeyote nimtakae.
Why mnanyanyasanya kwa vyeo na nafasi za juu kwani nani alie waambia nafasi hizo ndio Uhai? Nakama sio Uhai mbona kunawanao kataa hizo nafasi na hamuwasemi hiyo ni proof nafasi sio uhai nafasi ni upendeleo Mungu Kwa binadam hivyo let respect each other.
Like never before Taifa hili now a day vitisho shutuma na watu kunyanyasika Kwa mafanikio yao imekuwa ni daily 🍞 why? Nani alio wadanyanya kuanzia wajumbe wa nyuma kumi na vijiji mpaka nafasi ya Rais kwamba wao ndio last kuishi nakuliongoza hili Taifa why?
Mnafanya Taifa kugawanyika katika usemi na watu kuwa wanafiki wengi jambo la hatari sana hili nawaambia litaliangamiza Taifa maana hakuna adui mbayakatikaTaifa kama mtu mnafiki mnafiki ananguvu kuliko mtu alie na tabia za kweli, mnafiki anaweza kula kinyesi chako akakuletea chakula chenye sumu mnafiki ni mtu mbaya sana nawaambia and what if Taifa hili viongoz wa juu watazungukwa na watu wanafiki walahi nasema we are all dead.
Taifa hili ni Taifa la Mungu na nataka kuamini maneno ya Mwisho ya Hayati Baba wa Taifa Mungu atayajibu. Alisema nawaombea watanzania akijuwa zimo nyakati ngumu tutapita sasa hivi watu wanaogopa hata kufanya maendeleo ni mwendo kutishana kutishana mpaka basi. Je, tutatoka? Je, mwenye nchi anajuwa Aina ya maongoz yake yanashuka mpaka chini na watu wanaumia tena sana, je nilazima tukubaliane na kama hatukubalian ndio tuwe maadui? Hapana let's change
Mmmh itakuwa Kuna Jambo limekukutaUsitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kila wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno moja tu nampandisha yeyote nimtakae na kumshusha yeyote nimtakae.
Why mnanyanyasanya kwa vyeo na nafasi za juu kwani nani alie waambia nafasi hizo ndio Uhai? Nakama sio Uhai mbona kunawanao kataa hizo nafasi na hamuwasemi hiyo ni proof nafasi sio uhai nafasi ni upendeleo Mungu Kwa binadam hivyo let respect each other.
Like never before Taifa hili now a day vitisho shutuma na watu kunyanyasika Kwa mafanikio yao imekuwa ni daily [emoji506] why? Nani alio wadanyanya kuanzia wajumbe wa nyuma kumi na vijiji mpaka nafasi ya Rais kwamba wao ndio last kuishi nakuliongoza hili Taifa why?