Usiwanange watu, usitweze utu wa mtu wala usimuapie mtu

Usiwanange watu, usitweze utu wa mtu wala usimuapie mtu

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Usitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kupa wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno moja tu nampandisha yeyote nimtakae na kumshusha yeyote nimtakae.

Why mnanyanyasanya kwa vyeo na nafasi za juu kwani nani alie waambia nafasi hizo ndio Uhai? Nakama sio Uhai mbona kunawanao kataa hizo nafasi na hamuwasemi hiyo ni proof nafasi sio uhai nafasi ni upendeleo Mungu Kwa binadam hivyo let respect each other.

Like never before Taifa hili now a day vitisho shutuma na watu kunyanyasika Kwa mafanikio yao imekuwa ni daily 🍞 why? Nani alio wadanyanya kuanzia wajumbe wa nyumba kumi na vijiji mpaka nafasi ya Rais kwamba wao ndio last kuishi nakuliongoza hili Taifa why? Mnafikiri watanzania niwapumbavu na vilaza kuwa hawatokumbuka haya yanatendeka leo?

Mnafanya Taifa kugawanyika katika usemi na watu kuwa wanafiki wengi jambo la hatari sana hili nawaambia litaliangamiza Taifa maana akuna adui mbaya katikaTaifa kama mtu mnafiki mnafiki ananguvu kuliko mtu alie na tabia za kweli, mnafiki anaweza kula kinyesi chako akakuletea chakula chenye sumu mnafiki ni mtu mbaya sana nawaambia and what if Taifa hili viongoz wa juu watazungukwa na watu wanafiki walahi nasema we are all dead.

Taifa hili ni Taifa la Mungu na nataka kuamini maneno ya Mwisho ya Hayati Baba wa Taifa Mungu atayajibu. Alisema nawaombea watanzania akijuwa zimo nyakati ngumu tutapita sasa hivi watu wanaogopa hata kufanya maendeleo ni mwendo kutishana kutishana mpaka basi. Hivi mwenye nchi anajuwa now aday michango inachangishwa kwa nguvu na kodi unapimiwa vile mtu apendavyo na huna pakupata msaada Je, tutatoka? Je, mwenye nchi anajuwa Aina ya maongoz yake yanashuka mpaka chini na watu wanaumia tena sana, je nilazima tukubaliane na kama hatukubalian ndio tuwe maadui? Hapana let's change Kamwe haitotokea tufanane kwa itikadi na hii sii dhambi watoto wa baba na mama mmoja wanatofautiana sembuse Taifa la watu zaidi ya million arobain!
 
Shida kubwa ya Tanzania ni unafiki.

Kwa yaliyotokea tarehe 28/10 ni unyama na uhayawani usiomithilika hata mkoloni hakufanya haya dhidi ya mtu mweusi.

Cha ajabu waliopata nafasi za juu na wenye nafasi ya kuonya au kukemea wanasemea pembeni. Askofu mmoja wa jimbo kuu katoliki silitaji alijiwa na msimamizi wa uchaguzi akilia sana kwa majuto kwa kile alichoona na kusimamia ajabu askofu huyo hakudiriki hata kutoa au kukemea hayo.

Viongozi waliopaswa kukemea huu unyani wanasemea kipembeni na tunaona ukichaa ukichanja mbuga!!

Tunaelekea kwenye hatari sana maana kwa sasa hakuna kinachowindwa zaidi ya mamlaka.

Tangu enzi za TANU tuliamishwa na kuishi ktk dhana ya 'cheo ni dhamana' lakini leo wenye mamlaka wanahubiri cheo au teuzi ni ulaji.

Hakuna anayejali kwakua watu wanapigania ulaji.

Haikuwahi tegemewa ipo siku tungerudi kwenye UNYANI wa namna hii.
 
Magufuli siku nyingine anasema uraisi hutoka kwa Mungu halafu siku nyingine anasema wazee hawawezi kuwa rais, Sasa sijui anaijua mipango ya Mungu juu ya mtu gani na wa umri gani wa kumpa uraisi?
Kuna mwanafalsafa aliwahi sema "hakuna hatari iliyokuwa duniani kama mamlaka/madaraka kuangukia mikononi mwa watu wenye akili mdogo"

Sasa tunajionea.
 
Nyie ndio mlikuwa mkihubiri humu na kauli mbiu yenu ya mitano tena tukawaambia ukweli kuhusu bwana yule mkatupuuza ,wacha tule joto ya Jiwe kwa matakwa ya mungu wa CCM.
Wewe ulichukua hatua gani?
 
Magufuli siku nyingine anasema uraisi hutoka kwa Mungu halafu siku nyingine anasema wazee hawawezi kuwa rais, Sasa sijui anaijua mipango ya Mungu juu ya mtu gani na wa umri gani wa kumpa uraisi?

Ukiwa na Mamlaka unaweza kuhisi kumeza Moto na usikuunguze ,aliyo yafanya katika Uchaguzi Mkuu na ukimya ulio fuatia unampa kiburi cha kuamua atakavyo wakati wowote na kwa Mtu yeyote.Kina Kabudi ndio hao wana muabudu bila hata ya kuwa na Haya.
 
Tatizo kubwa linaloonekana wazi wazi ni pamoja ya kuwafanyia watanzania hayo yote waliyoyafanya kwenye uchaguzi ule wa Serikali za mitaa na huu Mkuu hawa watu hawaonekani kujutia - ndiyo kwanza wanajiona wababe na hakuna mtanzania yeyote wa kuwafanya chochote, wanatamba na wanajiona washindi kiasi cha kufikia hatua ya kuanza kuongelea nani anafaa kuwa mrithi wao... Yaani mrithi atokane na kikundi chao na si vinginevyo...bila kujali majeraha waliyoyaacha mioyoni kwa watanzania walio wengi.

Hapa ndipo panapoumiza zaidi kiasi unaona ni kwa nini ulizaliwa Tanzania..!!
 
Mbona unazunguka mbuyu ndugu? Ungempa makavu tu. Wala usiogope Keko.............. ni sehehmu ya mapambano!
 
Mkuu nawe pia kumbe una utu ama unapima upepo?
 
Usitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kila wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno moja tu nampandisha yeyote nimtakae na kumshusha yeyote nimtakae.

Why mnanyanyasanya kwa vyeo na nafasi za juu kwani nani alie waambia nafasi hizo ndio Uhai? Nakama sio Uhai mbona kunawanao kataa hizo nafasi na hamuwasemi hiyo ni proof nafasi sio uhai nafasi ni upendeleo Mungu Kwa binadam hivyo let respect each other.

Like never before Taifa hili now a day vitisho shutuma na watu kunyanyasika Kwa mafanikio yao imekuwa ni daily 🍞 why? Nani alio wadanyanya kuanzia wajumbe wa nyuma kumi na vijiji mpaka nafasi ya Rais kwamba wao ndio last kuishi nakuliongoza hili Taifa why?

Mnafanya Taifa kugawanyika katika usemi na watu kuwa wanafiki wengi jambo la hatari sana hili nawaambia litaliangamiza Taifa maana hakuna adui mbayakatikaTaifa kama mtu mnafiki mnafiki ananguvu kuliko mtu alie na tabia za kweli, mnafiki anaweza kula kinyesi chako akakuletea chakula chenye sumu mnafiki ni mtu mbaya sana nawaambia and what if Taifa hili viongoz wa juu watazungukwa na watu wanafiki walahi nasema we are all dead.

Taifa hili ni Taifa la Mungu na nataka kuamini maneno ya Mwisho ya Hayati Baba wa Taifa Mungu atayajibu. Alisema nawaombea watanzania akijuwa zimo nyakati ngumu tutapita sasa hivi watu wanaogopa hata kufanya maendeleo ni mwendo kutishana kutishana mpaka basi. Je, tutatoka? Je, mwenye nchi anajuwa Aina ya maongoz yake yanashuka mpaka chini na watu wanaumia tena sana, je nilazima tukubaliane na kama hatukubalian ndio tuwe maadui? Hapana let's change

Umeandika unakimbizwa au uko usingizini unaandika ukifukuzwa na jogoo? Kama Mwanamziki Jumbe, Hussein?
Yes tusiligawanye taifa wala kuwanyanyasa wale tunaowachagua. Yale madoido ya mwanzo wakati nuru inang'aa upande wako, unawatihsia wengine yameenda wapi?
Ama kweli, hujafa hujaumbika
 
Usitweze utu wa mtu kwa sababu ya cheo au nafasi ulioko maana alie kila wewe ndie amewanyima wale na sio aliwanyima kwamba hawafai lahasha alikupa tu wala ukimuuliza why alikupa atakujibu neno moja tu nampandisha yeyote nimtakae na kumshusha yeyote nimtakae.

Why mnanyanyasanya kwa vyeo na nafasi za juu kwani nani alie waambia nafasi hizo ndio Uhai? Nakama sio Uhai mbona kunawanao kataa hizo nafasi na hamuwasemi hiyo ni proof nafasi sio uhai nafasi ni upendeleo Mungu Kwa binadam hivyo let respect each other.

Like never before Taifa hili now a day vitisho shutuma na watu kunyanyasika Kwa mafanikio yao imekuwa ni daily [emoji506] why? Nani alio wadanyanya kuanzia wajumbe wa nyuma kumi na vijiji mpaka nafasi ya Rais kwamba wao ndio last kuishi nakuliongoza hili Taifa why?

Mnafanya Taifa kugawanyika katika usemi na watu kuwa wanafiki wengi jambo la hatari sana hili nawaambia litaliangamiza Taifa maana hakuna adui mbayakatikaTaifa kama mtu mnafiki mnafiki ananguvu kuliko mtu alie na tabia za kweli, mnafiki anaweza kula kinyesi chako akakuletea chakula chenye sumu mnafiki ni mtu mbaya sana nawaambia and what if Taifa hili viongoz wa juu watazungukwa na watu wanafiki walahi nasema we are all dead.

Taifa hili ni Taifa la Mungu na nataka kuamini maneno ya Mwisho ya Hayati Baba wa Taifa Mungu atayajibu. Alisema nawaombea watanzania akijuwa zimo nyakati ngumu tutapita sasa hivi watu wanaogopa hata kufanya maendeleo ni mwendo kutishana kutishana mpaka basi. Je, tutatoka? Je, mwenye nchi anajuwa Aina ya maongoz yake yanashuka mpaka chini na watu wanaumia tena sana, je nilazima tukubaliane na kama hatukubalian ndio tuwe maadui? Hapana let's change
Mmmh itakuwa Kuna Jambo limekukuta
 
Back
Top Bottom