Nakubari mkuu na hili ni moja ya andiko bora sana kwa siku ya leo nimekuelewa sana yaan km ulikua unaongea na mimi ana kwa anaHuhitaji kuwa mtu mbaya. Unachohitaji ni kuwa mtu ambaye watu watafikiria mara mbili kabla ya kukuchukulia poa.”
Na mara nyingi Ukiwa mtu wa hivi watu watajifikiria kufanya ujinga mbele yako.Kuwa mkali sana, lakini usiwe mtu mwovu. Kuwa mkali kiasi cha kuacha kujali kama kila mtu anakupenda. Vinginevyo, watu wataitumia huruma na wema wako mpaka mwisho ujikute hujitendei haki mwenyewe.
Kuwa mwema kwa kila mtu kuna gharama. Utawapa pesa, muda, msamaha, umakini na nafasi nyingine tena. Lakini siku moja tu unaposema hapana, ghafla unaonekana mbinafsi. Siku moja unapochagua kuondoka, unaonekana mtu asiye na moyo. Siku moja unapoacha kuwasaidia, watawaambia wengine jinsi ulivyobadilika na kuwa mtu mbaya. Waache.
Huna deni la kumpa mtu yeyote nafasi isiyo na kikomo katika maisha yako. Acha kujieleza kila wakati. Acha kuwaokoa watu kutokana na matatizo waliyojitengenezea wenyewe. Acha kujisikia na hatia kwa sababu mtu amekasirika baada ya wewe hatimaye kuweka mipaka.
Wakati mwingine utahitaji kuwa mbaya kwenye simulizi ya mtu mwingine. Waache wakuchukie, wakuelewe vibaya na wazungumze. Angalau watajifunza kwamba wewe si mtu wa kuendelea kutumiwa bila kuwepo kwa madhara au mipaka.
Huhitaji kuwa mtu mbaya. Unachohitaji ni kuwa mtu ambaye watu watafikiria mara mbili kabla ya kukuchukulia poa.”
Hapa nimekubaliana naye kabisa. Wema bila mipaka unamchosha mwenye wema na kuwazoesha wengine kukutumia. Kujua kusema hapana si ukatili, ni kujiheshimu. 🙏Kuwa mkali sana, lakini usiwe mtu mwovu. Kuwa mkali kiasi cha kuacha kujali kama kila mtu anakupenda. Vinginevyo, watu wataitumia huruma na wema wako mpaka mwisho ujikute hujitendei haki mwenyewe.
Kuwa mwema kwa kila mtu kuna gharama. Utawapa pesa, muda, msamaha, umakini na nafasi nyingine tena. Lakini siku moja tu unaposema hapana, ghafla unaonekana mbinafsi. Siku moja unapochagua kuondoka, unaonekana mtu asiye na moyo. Siku moja unapoacha kuwasaidia, watawaambia wengine jinsi ulivyobadilika na kuwa mtu mbaya. Waache.
Huna deni la kumpa mtu yeyote nafasi isiyo na kikomo katika maisha yako. Acha kujieleza kila wakati. Acha kuwaokoa watu kutokana na matatizo waliyojitengenezea wenyewe. Acha kujisikia na hatia kwa sababu mtu amekasirika baada ya wewe hatimaye kuweka mipaka.
Wakati mwingine utahitaji kuwa mbaya kwenye simulizi ya mtu mwingine. Waache wakuchukie, wakuelewe vibaya na wazungumze. Angalau watajifunza kwamba wewe si mtu wa kuendelea kutumiwa bila kuwepo kwa madhara au mipaka.
Huhitaji kuwa mtu mbaya. Unachohitaji ni kuwa mtu ambaye watu watafikiria mara mbili kabla ya kukuchukulia poa.”
Robert Heriel Mtibeli aliwahi kusema kwenye moja ya nyuzi zake ''Usimuonee huruma Mwanamke''Nakazia. Hasa usiwe mwema kwa wanawake usiowajua. Watakuumiza.
Robert Heriel Mtibeli aliwahi kusema kwenye moja ya nyuzi zake ''Usimuonee huruma Mwanamke''
Hapa umenena kwa busara kali sana.Huhitaji kuwa mtu mbaya. Unachohitaji ni kuwa mtu ambaye watu watafikiria mara mbili kabla ya kukuchukulia poa.”
Kuna mtu alitupia bumu, nami kwa sababu ni mtu wa kuweka mipaka nikarusha kombora la kibalistiki nikapewa onyo.Niliona juzi umepigwa BAN ilikuaje Mkuu ?