Ila wale maadui wengine wanaonivizia wakate kabisa tamaa ya kunijaribu 😂, wachokozi ni wengi humu.Sasa Mkuu kwanini utumie balistiki kwa mtu aliyetumia grenade ? 🤣🤣🤣
Uzuri ni kwamba hata Mods wanajua kuwa makombora yangu ni kwa ajili ya kujilinda tu. Sijawahi kumuanza mtu.Haya Mkuu angalia usije ukakata moto 🔥 kama Gunner 😀
Usije kurudi nyuma kuwaomba msaada wata kushangaa maana hawanaNilisoma pahali maneno haya
If you are a giver you should know your limit, because the takers don't have any.
Mwambie Roby apunguze kuni-copyRobert Heriel Mtibeli aliwahi kusema kwenye moja ya nyuzi zake ''Usimuonee huruma Mwanamke''
Ishi nayo hio kanuni zangu ni mbili tu linapokuja suala la mwanamke, 1. huruma naweka pembeni 2. yeye ndio anatakiwa anipende mimi, kinyume na hapo we're doneNimeshajiongeza kidogo
Kama huna roho hiyo utashindwa mkuu-..take it from me.Nikichelewa kidogo kulijua hili, nilijitoa sana kwa watu na wakachukulia udhaifu wangu kama advantage. Dada yangu alinikalisha chini na kunifunza hili. Hakika niliona mabadiliko makubwa.
Yaani roho inauma balaa usipomsaidia mtu wakati sio lazima. Ni ngumu kwakweli, inahitaji kujizua haswa.Kama huna roho hiyo utashindwa mkuu-..take it from me.
Hii ndio ilikuwa Tanzania ya Nyerere. Tanzania ya Nyerere ilikuwa shamba la bibi mataifa Afruca hasa kusini mwa Africa yaliachiwa kufanya Tanzania chaka lao la kutatua matatizo yao ya uhuru kwa gharama za kodi zetu, future yetu na maendeleo yetu.Kuwa mkali sana, lakini usiwe mtu mwovu. Kuwa mkali kiasi cha kuacha kujali kama kila mtu anakupenda. Vinginevyo, watu wataitumia huruma na wema wako mpaka mwisho ujikute hujitendei haki mwenyewe.
Kuwa mwema kwa kila mtu kuna gharama. Utawapa pesa, muda, msamaha, umakini na nafasi nyingine tena. Lakini siku moja tu unaposema hapana, ghafla unaonekana mbinafsi. Siku moja unapochagua kuondoka, unaonekana mtu asiye na moyo. Siku moja unapoacha kuwasaidia, watawaambia wengine jinsi ulivyobadilika na kuwa mtu mbaya. Waache.
Huna deni la kumpa mtu yeyote nafasi isiyo na kikomo katika maisha yako. Acha kujieleza kila wakati. Acha kuwaokoa watu kutokana na matatizo waliyojitengenezea wenyewe. Acha kujisikia na hatia kwa sababu mtu amekasirika baada ya wewe hatimaye kuweka mipaka.
Wakati mwingine utahitaji kuwa mbaya kwenye simulizi ya mtu mwingine. Waache wakuchukie, wakuelewe vibaya na wazungumze. Angalau watajifunza kwamba wewe si mtu wa kuendelea kutumiwa bila kuwepo kwa madhara au mipaka.
Huhitaji kuwa mtu mbaya. Unachohitaji ni kuwa mtu ambaye watu watafikiria mara mbili kabla ya kukuchukulia poa.”
Kuongezea kwa wale wenye moyo wa kujitoa sana kwa watu. Make time for yourself, jipende na ww. Watu huwa wanachukulia advantages wema na kukupelekesha.Kuwa mkali sana, lakini usiwe mtu mwovu. Kuwa mkali kiasi cha kuacha kujali kama kila mtu anakupenda. Vinginevyo, watu wataitumia huruma na wema wako mpaka mwisho ujikute hujitendei haki mwenyewe.
Kuwa mwema kwa kila mtu kuna gharama. Utawapa pesa, muda, msamaha, umakini na nafasi nyingine tena. Lakini siku moja tu unaposema hapana, ghafla unaonekana mbinafsi. Siku moja unapochagua kuondoka, unaonekana mtu asiye na moyo. Siku moja unapoacha kuwasaidia, watawaambia wengine jinsi ulivyobadilika na kuwa mtu mbaya. Waache.
Huna deni la kumpa mtu yeyote nafasi isiyo na kikomo katika maisha yako. Acha kujieleza kila wakati. Acha kuwaokoa watu kutokana na matatizo waliyojitengenezea wenyewe. Acha kujisikia na hatia kwa sababu mtu amekasirika baada ya wewe hatimaye kuweka mipaka.
Wakati mwingine utahitaji kuwa mbaya kwenye simulizi ya mtu mwingine. Waache wakuchukie, wakuelewe vibaya na wazungumze. Angalau watajifunza kwamba wewe si mtu wa kuendelea kutumiwa bila kuwepo kwa madhara au mipaka.
Huhitaji kuwa mtu mbaya. Unachohitaji ni kuwa mtu ambaye watu watafikiria mara mbili kabla ya kukuchukulia poa.”
Ishi mwendo wa "jino kwa jino "Kuwa mkali sana, lakini usiwe mtu mwovu. Kuwa mkali kiasi cha kuacha kujali kama kila mtu anakupenda. Vinginevyo, watu wataitumia huruma na wema wako mpaka mwisho ujikute hujitendei haki mwenyewe.