Usiwe Mtumwa wa Wema β€” Jifunze Kuweka Mipaka

Tatizo letu wengine tumeumbwa kusaidia wengine.
NB:..mimi huwa nasaidia sana wengine(najisikia amani sana nikwa sehemu ya furaha ya wengine)-ila mimisipendi kabisa kusaidia.
Hata nikiwa bar nikiona dalili ya kupewa offer ya bia naondoka-..sipendi kabisa kusaidiwa ila mimi ni mtoaji sana.
 
Nikichelewa kidogo kulijua hili, nilijitoa sana kwa watu na wakachukulia udhaifu wangu kama advantage. Dada yangu alinikalisha chini na kunifunza hili. Hakika niliona mabadiliko makubwa.
Kama huna roho hiyo utashindwa mkuu-..take it from me.
 
kuna mijitu mingine hua ina hisi umezaliwa ili uwasaidie wao tuh
 
Hii ndio ilikuwa Tanzania ya Nyerere. Tanzania ya Nyerere ilikuwa shamba la bibi mataifa Afruca hasa kusini mwa Africa yaliachiwa kufanya Tanzania chaka lao la kutatua matatizo yao ya uhuru kwa gharama za kodi zetu, future yetu na maendeleo yetu.

Waliitimba na sasa hawataki hata kutusikia.
 
Kuongezea kwa wale wenye moyo wa kujitoa sana kwa watu. Make time for yourself, jipende na ww. Watu huwa wanachukulia advantages wema na kukupelekesha.
 
Ishi mwendo wa "jino kwa jino "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…