Usiwekeze kwa mwanamke

Ke aina hii ni mmoja kwenye 1000 katika karne hii ya 21.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nakupa vyeo vya juu vya ugenerali wa Anti-Simp/Ant-Nice guy..........kwenye mahusiano ni kama trading/gambling............."Never invest amount of money which you are not able to loss it"..........yaani ukiishi hivi,utaishi kwa Raha sana kama wazee wa zamani
 
mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Mke ni suala jingine, kuna wanaume wanabeba jukumu la kuwekeza kwa girlfriend mwishoe inakua ubaya ubwela kama Msukuma na Penina kule Goba
 
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza
 
Ni asilimia ngapi tuliweka kwenye mizani tulinganishe na wanaume wanaotekeleza watoto wao?
Bado Me wanaoweza kuishi na single mothers ila ni kinyume na Ke kuishi na single fathers la sivyo Watoto watajuta kwanini Dingi kawaletea Ke wa kambo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
mimi nitawekeza kwa mke wangu, hata kama sitafaidi mimi kwa sababu labda kwa mabadiliko hayo uliyoyasema bado watoto wangu watafaidi mwanamke hawez kuwatupa watoto wake tofauti na mwanaume
Pokea maua Yako,
Hongera Kwa kulijua hili,
Uzi ufutwe tu, hili ndio jibu
 
that's true my brother, as a man be strategic, if you are dating any woman be clear of what she is bringing to the table, so that you can measure what you are also going to contribute. Don't venture in parasitic relationship.
Hizo ni mbinu zao za kimedani Mkuu ili uingie line akupige na kitu kitu kizito.
 
Bado Me wanaoweza kuishi na single mothers ila ni kinyume na Ke kuishi na single fathers la sivyo Watoto watajuta kwanini Dingi kawaletea Ke wa kambo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Nimezungumza kutelekeza watoto, ni nani anaongoza kati ya mwanamke na mwanaume? kama mwanamke anaweza akabeba majukumu ya watoto kuliko mwanaume, kwa ustawi wa watoto bora kuwekeza kwa mwanamke
 
Hii nafikiri ni special kwa sisi Hali ya chini..
Hivi wenzetu kule wenye Ma-B na ma-B hua wanahofu kuwekeza kwa mwanamke? Coz hata Mwanamke akispend 5B si chochote..

Just Imagine 1Bdollar.. 😀😀
 
Ilimradi ni watoto na hawana kosa lolote, na wamezaliwa katika himaya yangu, watanishukuru baadaye
Kuwa makini mzee mwenzangu unaweza ukatumika nyakati ambazo wazazi wapo broke, halafu baba halali wa mtoto akishajipata unaachwa solemba., unaweza ukaona ni rahisi kwa sababu bado haijakukuta.
 
Paragraph ya mwisho imemaliza kila kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…