Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

RP-1 ni petrol inatumiwa na Space X specifically kwenye Merlin, Russia, China, India n.k
Sijawahi sikia rocket inayoendeshwa na petrol au diesel. Kerosene ndio inatumika sana na chemical compounds nyingine. Hata hivyo huwezi ambia watu wanunue oil kwenye market kisa kuna rockets. Kwa mwaka hizo roketi zinatumia mafuta ambayo ni pungufu ya yanayotumiwa na Dar kwa mwezi
 
Sijawahi sikia rocket inayoendeshwa na petrol au diesel. Kerosene ndio inatumika sana na chemical compounds nyingine. Hata hivyo huwezi ambia watu wanunue oil kwenye market kisa kuna rockets. Kwa mwaka hizo roketi zinatumia mafuta ambayo ni pungufu ya yanayotumiwa na Dar kwa mwezi
kerosene ni refined petrol, ni mafuta yale yale. Endelea na Crypto kijana., it seems you have chosen a hill die on
 
Hivi mkuu huwezi kushawishi watu wawekeze kwenye dhahabu bila kuhusisha Bitcoin ...

Unaonekana una hoja dhaifu kabisa ,unataka kupambana na Bitcoin unaiweza wewe ....

Mbona Kama unajificha kwenye kivuli cha Bitcoin kuhamisha watu wawekeze kwenye dhahabu ....

Nimebaki mdomo wazi kuhusu andiko lako ,sijui unalenga Nini ,sijaona mantiki ya Uzi wako kabisa ...
Kiufupi umeshindwa kushawishi watu kuwekeza kwenye dhahabu na umefeli kuonesha watu kwanini wasiwekeze kwenye Bitcoin .......!!!!
 
Kwa utajiri wa dhahabu na madini mengine kwenye hii nchi ni ajabu sana kuona watu na serikali wakiendelea kuwekeza nguvu zao kwenye kilimo kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.

Kilimo kinalipa ila sio hichi tunachofanya bongo kwa wakulima walio wengi. Mimi huwa nasema ukitaka kuwa maskini nchi hii basi kuwa mkulima.

Vijana ingieni kwenye madini mna higher chances za kutoboa huko kuliko sector zingine. Hii sector imezalisha matajiri wengi kwa muda mfupi kuliko sekta nyingine yeyote ile.

Bongo yetu bado ipo open sana ni vile watu hawajui tu na ni almost hamna sheria watu wanajifanyia tu hamna nchi nyingine utaenda ukute hivi zaidi ya bongo.
 
Hiyo comment uliyoquote sijui umeielewa. Nimesema hakuna mwaka dhahabu itapanda bei mara mbili yake. Crypto hata mara 100 inaweza
Hawa watu hawajui wanachokisema.

Crypto inauwezo wa kuongezeka 100000X ndani ya miezi sita tuu. Ikimaanisha pesa kidogo tuu ($1) inakutoa ($100000), baada ya hapo unaweza kuwekeza pesa hiyo kwenye hizo dhahabu na makorokoro mengine. Ila kwa mtu wa kawaida asiye na connection, kuanza kuwekeza kwenye dhahabu, unahitaji mtaji mkubwa sana ambayo siyo uhalisia.

Saitama mwezi wa Juni 2021 ilikuwa $0.000000000038 leo hii imeshakula sifuri tatu $0.00000011 sasa kama mtu aliwekeza Tsh 2300 ($1) leo hii atakuwa na Tsh 2,300,000 ($1000)
 
kerosene ni refined petrol, ni mafuta yale yale. Endelea na Crypto kijana., it seems you have chosen a hill die on
Sasa ndio uwekeze kwenye mafuta kisa kuna rockets? Hivi unadhani kuna siku pipa la mafuta litakuwa na bei mara mbili ya bei ya sasa au litafika $ 200 ndani ya hii miaka kumi ijayo. Wakati kuna crypto zinakua mara elfu ndani ya mwaka
 
January nimenunua shiba inu coin million 100 kwa $700 leo sawa na $5,500
Jana nimenunua Dogelon coin million 100 mwakani tutaongea lugha nyengine.
Hapa nasubiri Floki coin na Saitama coin.
Narudi kwa mleta uzi kuna kampuni inayochimba dhahabu Tanzania makao Makuu yake yapo canada najua unaijua kampuni ninayo iongelea. Niliwekeza huko faida na hasara tu hakuna kipya, ushauri sasahivi nenda na meme coin tu.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkuu tupon pamoja mm pia naiwinda saitana
 
Wekeza kwa maisha ya umilele..haya ya duniani yaniapita..

Bwana Yesu asifiwe.

#MaendeleoHayanaChama
ona mwingine huyu....hiv inakuwaje watu mnampa likes mtu anae reply senseless point kama hii ya maisha ya umilele ambayo kiuhalisia hayapo na hayatowai kuwepo...

hizi imani hizi ndiomaana tunasema kila siku, dini ndyo chanzo cha umasikini, wenzako wanahangaika kuwekeza dunian kwa faida ya vizazi vya kesho, wew upo bize na stori za kusadikika kuhusu mbingu uchwara...

Afrika kuendelea ni ngumu sana
 
Mfano kesho nataka ninunue USDT za $300 kisha ninunue SHIB, DOGE, ADA, XRP, TRON, BTT, BAT, Stellar na Vechain.
g.png


Nunua Saitama kaka, hii iko kwenye ethereum block chain, tatizo gas fees za ether ni kubwa kama utanunua kwenye uniswap.

Hivyo unaweza jiunga kwenye exchange kama hotbit.io uisikilizie. Hii imeshakula sifuri tatu toka juni, iwahi inaenda kuua sifuri nyingine, circulation yake ni ndogo, siyo kama shiba. Ona watu wanavyo spend hapo.

Simon karibu huku.
 
1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya
2. Mafuta na Gesi
Mafuta gan kwanza ya mgando au ya kupikia.....??
 
Back
Top Bottom