jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kampuni zipi za gold?Dhahabu Nov 2019 ~ tzs 80,000,000 @1kg
Dhahabu Nov 2021 ~ tzs 120, 000, 000 @1kg
Kuwekeza kwenye dhahabu sio kwakuikumbatia ni kuwekeza kwenye kampuni za dhahabu. Investiment 101. Unawekeza kwenye biashara sio pesa. Kuna crypto ilianzishwa mwezi wa 10 watu wamenunua sasa hivi haina thamani. Watu wa crypto mnavamia discipline ya finance halafu hamna utaalamu nayo. Hutakiwi kuwekeza kwenye thamani ya pesa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app