Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

Kampuni zipi za gold?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana. Ni uwekezaji mzuri sana unaolipa.
 
nyie jamaa wa forex na bitcoin mngewekeza nguvu zenu DSE tungekua mbali sana
 
Upo sahihi mkuu, mostly GOLD movement ipo projected World Gold Council.. Tofauti na crypto pamoja na currencies ambayo supply na demand yake ni ngumu kuijua.
 
Hii trend ya Bitcoin inashuka kwa Kasi sana changamoto Iko WAP?
 
Unanunua dhahabu za milioni 100 mara unasikia kuna kirusi kinazalishwa na dhahabu hivyo imeshuka bei kwa 50% 😁

Unaishia kupata hasara,

Haya maisha hayana formula.
 
Doge imekupa ngapi tuambie🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…