Uchaguzi 2020 Usiyempenda kaja, Mwamba Mbowe achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Usiyempenda kaja, Mwamba Mbowe achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Hai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu hapa



FB_IMG_1597918256798.jpg


Subpost 3 - Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai Mhe. F ( 468 X 640 ).jpg
 
Atakutana na kiboko Yake DC Ole Sabaya.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
MGHWIRA AMTAKA DC SABAYA KUMPA TAARIFA MSAFARA WA LISSU KUSHAMBULIWA
19 Aug 2020
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, ametoa kauli rasmi ya serikali kuhusiana na vurugu zilizotokea katika mji wa Bomang'ombe wilaya ya Hai wakati mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu alipofika wilayani humo kutafuta wadhamini.

Katika taarifa hiyo rasmi aliyoitoa leo Agosti 19, 2020, mkuu huyo wa mkoa ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo, amemtaka mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, kumpatia taarifa ya maandishi ya namna alivyoshughulikia suala hilo.

 
Leo naona mambo shwari baada ya CHADEMA kuibana serikali kuhusu uhuni uliokuwa umefanyika Hai Kilimanjaro kwa muda mrefu bila kukemewa.

Mwenyekiti wetu amechukua fomu bila ya wale wahuni mamluki wa CCM kuingilia hatua hii muhimu ya kuanza mchakato wa kulichukua jimbo kupitia uchaguzi wa 2020
 
Back
Top Bottom