Uchaguzi 2020 Usiyempenda kaja, Mwamba Mbowe achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Hai

asante mkuu
 
Mimi bado msimamo wangu ni ule ule, labda kura ziibiwe huko ambako siwezi kufika,zikiibiwa mbele ya macho yangu sitakufa mpaka niwamalize wahusika!
Mikwara ya kwenye keyboard tu hiyo, sisi tutaiba kura kama kawaida na hamna la kutufanya.
 
Chadema mwaka huu, imejitahidi Sana, itaingiza wabunge bungeni Kati ya 6 Hadi 8, hapo imejitahidi mno

Mwenye uhakika zaidi hapo ni Yule wa Tunduma basi, wengine mioyo Yao inadunda kama kitenesi, labda na M/kiti wa Chama, hao kidoogo wanakauhakika

Sasa wanaobaki, mamaaaaa!!! Sjui mtamfunga nini Gwajima ili asiweze kuongea kivile???😄
 
ile ilikuwa chenga ya mwili

Subiri aibu, usikimbie hapa jukwa la JF, Madiwani 18 waliokuwa wanachama na Madiwani kupitia Chadema jimbo la Hai wamerudishwa. Wanagombea kupitia CCM.

The entire administration structure ya Jimbo la Hai , Kutoka Mjumbe wa Nyumba Kumi, Viongozi wa Kata Wote, Vitongoji, Tarafa mpaka Wilaya. Wote wanaelekeza bunduki zao Chadema .

Mwaka huu kazi kweli kweli. Uwezo wa kisiasa na kioganisation wa Mbowe tutauona mwaka huu. Miaka yote huku huwa haji hata kura huhesabiwa yeye akiwa hayupo.

Na Watanzania wengi hawajui hili: Mbowe hajawahi kushinda Ubunge kwa tofauti ya kura 5000. Kazi kweli kweli mwaka huu.
 
Mbowe ni jabali , hajawahi kutishwa na mamluki , lingine unalopaswa kutambua ni kwamba 75% ya wakazi wa Hai ni wanachama hai kabisa wa Chadema , nunua wapiga kura usinunue madiwani 18 tu utaliwa hela zako
 
Dawa ni Chadema pia wakawahi kuchukua form za ccm jimbo lolote, tujifunze ccm wata solve vipi. Dawa ya moto ni moto.
Nani atakeyekupa?Leo kwenye PB ya Clouds waliulizana hilo swali "Hivi inawezekana mtu akachukue fomu kwa jina la CCM?"Mmoja aliishia kusema "thubutu" huku mwingine akicheka!Huwezi kumshika Simba shurubu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…