Uchaguzi 2020 Usiyempenda kaja, Mwamba Mbowe achukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Hai

useless crisis management initiative.
 
Mama awe makini asije akajikuta kijiweni kama sisi...Dona bamia
 
Mbowe ni jabali , hajawahi kutishwa na mamluki , lingine unalopaswa kutambua ni kwamba 75% ya wakazi wa Hai ni wanachama hai kabisa wa Chadema , nunua wapiga kura usinunue madiwani 18 tu utaliwa hela zako
View attachment 1543249
Usinikimbie , Mkoa wa Kilimanjaro hatutaki kuendelea kuwa njee ya meza kuu, Mikoa mingine kama Geita, Dodoma, Rukwa, Ruvuma Mbeya, Tabora na mikoa mingine ambayo sijaitaja iliyoko tayari chukueni nafasi ya upinzani wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hatuna lazima kubaki upinzani.
 
Nakuhakikishia kwamba wewe ndio utakimbia , hakuna mwanaccm anayeweza kumwangusha Mbowe , hata Magufuli hatoweza kupata chochote , huyu Mbowe si mwepesi kama unavyodhani , ama labda humfahamu au labda unategemea uchawi
 
Nakuhakikishia kwamba wewe ndio utakimbia , hakuna mwanaccm anayeweza kumwangusha Mbowe , hata Magufuli hatoweza kupata chochote , huyu Mbowe si mwepesi kama unavyodhani , ama labda humfahamu au labda unategemea uchawi View attachment 1543318

Mkuu, uchawi tena ? mambo ya utalii magumu sana mwaka huu, ningekuwa nakuletea unywanywa kila siku kutoka Jimboni Hai.
 
Kumbe anawakubali wasimamizi wa uchaguzi!! Si alitoa waraka kuwa hawawataki Wakurugenzi lazima Katiba ibadirishwe kabla ya uchaguzi kufanyika 2020 kumbe ilikuwa janja tu ya kitoto!
Msimu huu utaimba haleluya kudadeki zako !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…