Ni kwel choka mbaya nashangaa kila siku anatupia picha za kwa watu badala apige kwao
Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
mweh ajikubali tu maskini apige kwaoo au hiyo mihela anayoipata apendezeshe kwao! au uwanamitindo haulipi? ila sitaki kuamini haulipi, inakuaje yeye anapendeza ivo. warumi diha nsaidie hapo
duuu basi mimi sikui wajameni! yan age mate analingana na mamang!!!!!
af nilisikia kwao hamisa mabovu vibayaaaa yani kunatisha lool(umbea kazini)
MMh binamu toka hasubuhi sijakuona humu ulikuwa wapi tena
Hamisa dili anazipata, alishawahi kuuza nyago kwenye jarida flani ivi la kenya, aliuza sana na kuna kipindi alienda nigeria kwa ajili ya hiyo kazi ya u model, ila pesa anazopata sio ndefu kihivyo ni za mkataba wa mda tu ambazo mtu kama yeye wa matanuzi sidhan kama anazifanyia mambo ya maana, na ndio maana anahangaika mara bongo movie ili tu asife njaa, u modo Tz haulipi kihivyo labda uongeze na umalaya
binamu huyo hamisa nanyatia nipate no yke
Na yule Siwema ulipiga kitu au? ?
Hamisa dili anazipata, alishawahi kuuza nyago kwenye jarida flani ivi la kenya, aliuza sana na kuna kipindi alienda nigeria kwa ajili ya hiyo kazi ya u model, ila pesa anazopata sio ndefu kihivyo ni za mkataba wa mda tu ambazo mtu kama yeye wa matanuzi sidhan kama anazifanyia mambo ya maana, na ndio maana anahangaika mara bongo movie ili tu asife njaa, u modo Tz haulipi kihivyo labda uongeze na umalaya
si analiwa na DBANJ nasikia.....namuonaga ubalozi wa naijeriaMakubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
anakaa Sinza pale na mama yake kwao kwa kawaida sana hana ushua wowote ni malaya tuMmh mi nikajua toto la masaki shule kasoma academic int. Kumbebe tandika tena duh , ila watoto wa kiswazi wamejaliwa mienikano mizur, kama lulu ukimwona utasema toto la tajir kumbe umalaya ndo unamuweka mjini mmh kaz kwel kweli
Amezaliwa mwaka 1994 lakini alianza kushiriki mashindano ya U-miss mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 17 kinyume na sheria...!!!
si analiwa na DBANJ nasikia.....namuonaga ubalozi wa naijeria
Labda alimgonga tu, sidhan kama d banj anaweza kuwa na mwanamke hamnazo kama hamisa, nilizisikia izi tetesi, ila inasemekana walipiga picha tu club n kuna video ya d banj bi dada alicheza kama queen video