mango g
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 517
- 215
Ni kwel choka mbaya nashangaa kila siku anatupia picha za kwa watu badala apige kwao
mweh ajikubali tu maskini apige kwaoo au hiyo mihela anayoipata apendezeshe kwao! au uwanamitindo haulipi? ila sitaki kuamini haulipi, inakuaje yeye anapendeza ivo. warumi diha nsaidie hapo