Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Status
Not open for further replies.
Ni kwel choka mbaya nashangaa kila siku anatupia picha za kwa watu badala apige kwao

mweh ajikubali tu maskini apige kwaoo au hiyo mihela anayoipata apendezeshe kwao! au uwanamitindo haulipi? ila sitaki kuamini haulipi, inakuaje yeye anapendeza ivo. warumi diha nsaidie hapo
 
Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.

hamna kamliza tandika secondary schoo kazaliwa 1992 huyo asijihashue hapa
tena anajiona bonge la modo!!
 
mweh ajikubali tu maskini apige kwaoo au hiyo mihela anayoipata apendezeshe kwao! au uwanamitindo haulipi? ila sitaki kuamini haulipi, inakuaje yeye anapendeza ivo. warumi diha nsaidie hapo

Hamisa dili anazipata, alishawahi kuuza nyago kwenye jarida flani ivi la kenya, aliuza sana na kuna kipindi alienda nigeria kwa ajili ya hiyo kazi ya u model, ila pesa anazopata sio ndefu kihivyo ni za mkataba wa mda tu ambazo mtu kama yeye wa matanuzi sidhan kama anazifanyia mambo ya maana, na ndio maana anahangaika mara bongo movie ili tu asife njaa, u modo Tz haulipi kihivyo labda uongeze na umalaya
 
duuu basi mimi sikui wajameni! yan age mate analingana na mamang!!!!!
af nilisikia kwao hamisa mabovu vibayaaaa yani kunatisha lool(umbea kazini)

Bora we age mate wako, mie mdogo wangu kabisa ila namwona kama mamdogo lol!
 
Kazaliwa 1994 afu anamiaka 21? Warumi umetokwa povu hapo mkuuu muulze vzur umri wake
 
Hamisa dili anazipata, alishawahi kuuza nyago kwenye jarida flani ivi la kenya, aliuza sana na kuna kipindi alienda nigeria kwa ajili ya hiyo kazi ya u model, ila pesa anazopata sio ndefu kihivyo ni za mkataba wa mda tu ambazo mtu kama yeye wa matanuzi sidhan kama anazifanyia mambo ya maana, na ndio maana anahangaika mara bongo movie ili tu asife njaa, u modo Tz haulipi kihivyo labda uongeze na umalaya

binamu huyo hamisa nanyatia nipate no yke
 
Hamisa dili anazipata, alishawahi kuuza nyago kwenye jarida flani ivi la kenya, aliuza sana na kuna kipindi alienda nigeria kwa ajili ya hiyo kazi ya u model, ila pesa anazopata sio ndefu kihivyo ni za mkataba wa mda tu ambazo mtu kama yeye wa matanuzi sidhan kama anazifanyia mambo ya maana, na ndio maana anahangaika mara bongo movie ili tu asife njaa, u modo Tz haulipi kihivyo labda uongeze na umalaya

mmh huruma maskini! pesa kidogo kuuza sura kwingi!

asante kwa ufafanuzi warumi!
 
Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
si analiwa na DBANJ nasikia.....namuonaga ubalozi wa naijeria
 
Mmh mi nikajua toto la masaki shule kasoma academic int. Kumbebe tandika tena duh , ila watoto wa kiswazi wamejaliwa mienikano mizur, kama lulu ukimwona utasema toto la tajir kumbe umalaya ndo unamuweka mjini mmh kaz kwel kweli
anakaa Sinza pale na mama yake kwao kwa kawaida sana hana ushua wowote ni malaya tu
 
Amezaliwa mwaka 1994 lakini alianza kushiriki mashindano ya U-miss mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 17 kinyume na sheria...!!!

mboma anaonekana kakomaa 94 kweli mmm
 
si analiwa na DBANJ nasikia.....namuonaga ubalozi wa naijeria

Labda alimgonga tu, sidhan kama d banj anaweza kuwa na mwanamke hamnazo kama hamisa, nilizisikia izi tetesi, ila inasemekana walipiga picha tu club n kuna video ya d banj bi dada alicheza kama queen video
 
Huyu mtoto analiwa na Michael mlingwa aka mx.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom